Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,467
- 133,927
nashukuru kwa taarifa.sasa ametoa sanction gani kwa serikali au ndio hivo kila kitu kinaishia hapo hapo???
nashukuru kwa taarifa.sasa ametoa sanction gani kwa serikali au ndio hivo kila kitu kinaishia hapo hapo???
Ofisi ya CAG ni independent, ila pia serikali yetu hushurutishwi kuwajibika, huishia kushauriwa tuu, hivyo kazi ya CAG ni kushauri tuu.nashukuru kwa taarifa.sasa ametoa sanction gani kwa serikali au ndio hivo kila kitu kinaishia hapo hapo???
Hazina jipya. Tanzania itaendelea kuwa maskini mpaka nabii ISSA atakaporudi kuhukumu dunia hii.
Ofisi ya CAG ni independent, ila pia serikali yetu hushurutishwi kuwajibika, huishia kushauriwa tuu, hivyo kazi ya CAG ni kushauri tuu.
Hazina jipya. Tanzania itaendelea kuwa maskini mpaka nabii ISSA atakaporudi kuhukumu dunia hii.