Ripoti ya Kifo cha Mwangosi

Naomba kuuliza Kuna measures zitakazo tolewa ikiwa Hawa wa Ndugu Nchimbi wametumia Pesa za Bure kutoka kwenye kodi za Wananchi na kutuletea Report Pumba?
au ndo kama kawaida Mtu anatengeneza Dawa kwa matumizi ya binadamu bomu wanamuachisha kazi aendelee kula bata mtaani?
 

Tukisema Tuzifananishe Za Wanahabari na ile Ya Tume ya Nchimbi, Ile ya Nchimbi ni non sence na imepanga kuwa tetea polisi (kwasababu imebainisha kuwa Polisi hawakumuua Mwangosi bali kitu kililipuka wakati wao wamepanda kwenye Gari kuodoka, na yule aliye umia mguu wamesema alivunjika mkono)
Kwanini watumie Uwongo katika mambo ambayo ushahidi upo hata kwenye mitandao?
inamaana wametuona Watanzania ni mambumbumbu kiasi hicho jamani? tunakwenda Wapi
Nasisi Watanzania tumezidi kubebwabebwa kama mizoga tunatakiwa Kuonyesha Reactions zetu

Kila lenye mwanzo halikosi Mwisho
 
Kama ningekuwa Jaja nisinge sign report hii nyepesi iliyojaa speculations than facts.
 
Chadema si walisusia kuhojiwa na hiyo kamati kama ya harusi sasa ukweli utajulikanaje

Ni sahihi CHADEMA kususia hiyo Kamati.

Hapo kuna Jeshi la polisi/mambo ya ndani ndio waliohusika na wangejichungazaje? Kujua 'natural justice' haitakiwi LLB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…