ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,978
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.
CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.
Uwasilishaji ripoti ya CAG - Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Pia soma
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi
My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika,tuendelee hivi hivi Ili akili ziwakae sawa.