Ripoti ya CAG 2017/2018: Uhuru Publications ina mikakati dhaifu ya Mauzo na Masoko

... Uhuru Publications si likampuni binafsi hili? CAG anahusikaje na ukaguzi wa makampuni binafsi? Au linapokea ruzuku ya Serikali hili?
 
... Uhuru Publications si likampuni binafsi hili? CAG anahusikaje na ukaguzi wa makampuni binafsi? Au linapokea ruzuku ya Serikali hili?
anakagua hesaby za vyama inajumuisha na mali wanazomiliki, ni kwa mujibu wa sheria hakurupuki
 
Usishangae utakaposikia rasmi kuwa hata taasisi za umma zimepewa maagizo ya chini chini kutangaza na hao jamaa. Mark my words.
 
... Uhuru Publications si likampuni binafsi hili? CAG anahusikaje na ukaguzi wa makampuni binafsi? Au linapokea ruzuku ya Serikali hili?
NI gazeti la chama cha mapinduzi ambalo linaendeshwa kwa ruzuku za chama ambazo kimsingi ni pesa za KODI zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…