RIPOTI:Tanzania ni nchi ya nyuma kwa furaha

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2016 ambayo imetolewa leo.

Orodha hiyo iliandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishaji, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.

Mataifa yaliyo kwenye kundi la mataifa kumi ya mwisho ni Madagascar, Tanzania, Liberia, Guinea, Rwanda, Benin, Afghanistan, Togo, Syria huku Burundi ikishika mkia.

Tanzania imo nambari 149 kati ya nchi 157 ikiwa na alama 3.695 kati ya alama 10 na Rwanda nambari 152 na alama 3.315.

Uganda imo nambari 146 na alama 3.739, Malawi nambari 132 na alama 4.156, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imo nambari 125 na alama 4.272 na Kenya nambari 122 na alama 4.356.

Ripoti hiyo imetolewa mjini Roma, Italia huku ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa tarehe 20 Machi.

Orodha hiyo imetayarishwa na shirika la maendeleo endelevu ya Sustainable Development Solutions Network (SDSN) ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.

Denmark inaongoza kwa viwango vya furaha duniani ikiwa na alama 7.526 ikifuatwa kwa karibu na Uswizi, Iceland na Norway.

Finland, Canada, Uholanz, New Zealand, Australia na Sweden zinafunga kumi bora.

Marekani imo nambari 13 na Uingereza nambari 23.

Chanzo:BBC
 
Asante sana kwa taarifa.....!

Ni vigumu kupima furaha ya mtu. Mimi kwa mfano nimeishi nchi za Scandinavia lakini sioni kama wana furaha kuliko waafrika. Ni kweli wana huduma muhimu nzuri na mazingira yao ni mazuri lakini siwaoni kama wana raha. Nchi kama Tanzania pamoja na shida zetu lakini naona watu wanaishi kwa chereko chereko na vicheko haviishi.
 
Huna bara wala pwani, hujui unachoandika.Tena nafuu awamu zilizopita, kwa watanzania kila kukicha bora jana.Leo tu sehemu mbalimbali watu wamekutwa wanauza maandazi wakawekwa ndani kisa hawapo shambani.Sijui twaelekea wapi.
 
Haha....hvyo vicheko ni vya umbea na majungu tyu Hanna llte
 
Huna bara wala pwani, hujui unachoandika.Tena nafuu awamu zilizopita, kwa watanzania kila kukicha bora jana.Leo tu sehemu mbalimbali watu wamekutwa wanauza maandazi wakawekwa ndani kisa hawapo shambani.Sijui twaelekea wapi.
Khe.....wapi hyo?
 
Ni vigumu kupima furaha ya mtu. Mimi kwa mfano nimeishi nchi za Scandinavia lakini sioni kama wana furaha kuliko waafrika. Ni kweli wana huduma muhimu nzuri na mazingira yao ni mazuri lakini siwaoni kama wana raha. Nchi kama Tanzania pamoja na shida zetu lakini naona watu wanaishi kwa chereko chereko na vicheko haviishi.
Mkuu nakupa like. Watu wao hawana amani na wambea.

uliishi mji gani?
 
Back
Top Bottom