Ripoti: Polisi ya Tanzania yashika namba 9 kwa Uweledi Afrika. Kenya haipo popote

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.

Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19

My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁

Bongo tz.....!
 
Ripoti hiyo ni Batili
 
Hakuna kitu kama hicho hadi Yesu arudi.
 
Sampuli walichukulia wapi!!!
 
Wamuulize thabo bester na nandhipa magudumana wanajua kazi ya polisi wa tanzania sio poa kabisa
 
chap chap afande Shirima wa Kibosho akijipongeza baada ya kusikia hizi taarifa akiwa na yeye ni mmoja wapo.👇

images.jpeg
 
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.

Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19

My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁

Polisi Tanzania wanazidiwa hata na wa Rwanda
 
Utafiti wa CHAWA, au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom