RIPOTI MAALUMU: Hiki ndicho kiini cha mauaji Pwani

Nafikiri hii habari ina kaukweli fulani ndani yake dhulma, uonevu ukizidi mioyo ya watu hubadilika.
 
Nakubaliana na hii taarifa kwa asilimia kubwa.

Busara inahitajika kwa viongozi wetu katika kufanya uchunguzi wa kina na kutoa maamuzi ambayo yatadhaa amani katika maeneo hayo.
 
Habari haijitoshelezi..... haujafanya utafiti.... umechukua akili ya mtu ukaiweka hapa... tena kwa hisia zake tu
 
Back
Top Bottom