Nimekosa kabisa hamu na nchi yangu Tanzania.I'm Speechless and Mouth open.
I wish hata nusu Watanzania wangejua haya madudu ya Serikali ya CCM.
But hang on, it is my wishful thinking, most of the Tanzanians wanaogelea kwenye lindi la ujinga na maskini.
Kujua ukweli huu kwao ni sawa na kumuona Yesu mawinguni.
Sasa ngoja tumsubiri Werema na Kichwa chake cha kufungia nywele. Lakini ipo siku Mungu atatupatia haki yetu mliyotunyang'anya CCM, Watanzania tuzidi kuomba.
Acha kampeni weweee!!!
Hata hao akina Tundu wenyewe wanajua kuwa muda wa kujadili mambo ya urais bado.....wapo strong people ndani ya CDM kuliko hata Tundu Lissu....haimaanishi Lissu ndo zaidi ya wote.....Wakati kaka yako mzaramo anasema haitaji kura za wafanyakazi....alikuwa anajua hakuna mgombea anaeweza kumtingisha hata kidogo...hakuna aliyejua Dr. Slaa angeweza kuwa chaguo la wengi....so mpaka kufikia June 2015...tarajia yanaweza kutokea mabadiliko...kalagabahoMagamba hahahaa! Sasa kampeni iko wapi? Hiyo ni wish yangu!
Hili la kuvunja katiba hata baada ya kushauriwa lina hatari sana. Bahati mbaya bunge letu nalo ndio wale wale, halina ujasiri wa kumshitaki Rais. Ni kama nawaona jinsi watakavyotoka mapovu kujaribu kuteteana juu ya kadhia hii!Kama hii ni kweli, and I believe to be true, case waliamua hawa majaji zinaweza kuwa questioned mahakamani CA.
Kama JK alivunja sheria hawezi kuwa impeached. Maana naona kama ushahidi ni wa wazi mno bila mashaka.
Nimekosa kabisa hamu na nchi yangu Tanzania.I'm Speechless and Mouth open.
I wish hata nusu Watanzania wangejua haya madudu ya Serikali ya CCM.
But hang on, it is my wishful thinking, most of the Tanzanians wanaogelea kwenye lindi la ujinga na maskini.
Kujua ukweli huu kwao ni sawa na kumuona Yesu mawinguni.
Sasa ngoja tumsubiri Werema na Kichwa chake cha kufungia nywele. Lakini ipo siku Mungu atatupatia haki yetu mliyotunyang'anya CCM, Watanzania tuzidi kuomba.
Hawa walishatugeuka taaluma yao wanitumia kukandamiza haki za wanyonge.na sababu kubwa nafasi za juu wamekabidhiwa vichaa.Kwa harakaharaka nijifunza kitu kwa tundu lissu kuwa udhaifu huu haijaanza kipindi cha JK bali tangu siku nyingi.Madhara yake ndiyo tunaanza kuyaona leo kesi za ajabu zinafunguliwa na huku serikali ikiendelea kutumia mahakama kama kichaka,kumbe mpango wa kuandaa play makers ulianza siku nyingi.Na sasa kuwaondoa wale itatuchukua muda kwa maana nyingine haki za kimahakama hazipo tena.Kilichobaki ni kuiondoa ccm madarakani ili kuweza kufumua mtandao wa vihiyo wa sheriaNafikiri Tanganyika Law Society wanapaswa kutupa majibu kwani wao wanafanya nini kusimamia taaluma ya sheria kwa sababu hii inadhalilisha tasnia ya sheria Tanzania wenzao zanzibar chama cha wanasheria walisimama kidete kupinga uteuzi wa baadhi ya majaji ingawa uteuzi wao haukubatilishwa lakini angalau walionyesha msimamo wao
Hebu fikirieni. Kama dhaifu ameweza kufanya hivi kwa mahakama, je katika usalama wa taifa, jeshi la polisi amefanya mangapi kudhoofisha utawala wa kisheria?