kuna nyumbu wanaamini gadaf aliuwawa sababu wazungu hawapendi madictator[emoji4][emoji4][emoji4]Mabeberu hawachukii dikteta wala mwanademokrasia. Wakichukiacho ni pale dikteta huyu au mwanademokrasia huyu akiziba mianya na kuingilia maslahi yao.
Huyo mtu mmoja angeachia madaraka nchi isingeingia kwenye vita. Kama watu hawakutaki unang'ang'ania nini? Pesa unayo na mali nyingi. Angeenda nchi yoyote akaishi huko na familia yake. Shida ya viongozi wengi wanafikiri nchi ni yao na wao wanahati miliki ya kukaa madarakani. Hapo ndiyo panapotengeneza mianya ya vita. Mabeberu wanambinu sana zaidi ya ufikiriavyo na wakiamua kuivuruga nchi ni muda mchache tu meshavurugana.Wameharibu nchi nzima kisa tu et mtu mmoja alikuwa anang'ang'ania madalaka,huwa nashangaa nafasi za viongozi ni chache tu na lengo ni kuwepo wenye kuwaongoza watu maana hamuwezi kuwa bila ya uongozi sasa unapo sababisha fujo kana kwamba kila mtu atapata hizo nafasi za uongozi huwa naona ujinga tu.
Angeacha madaraka kisha akaingia mwenye kuweka mbele maslahi ya Libya bado wangemuandama pia.Huyo mtu mmoja angeachia madaraka nchi isingeingia kwenye vita. Kama watu hawakutaki unang'ang'ania nini? Pesa unayo na mali nyingi. Angeenda nchi yoyote akaishi huko na familia yake. Shida ya viongozi wengi wanafikiri nchi ni yao na wao wanahati miliki ya kukaa madarakani. Hapo ndiyo panapotengeneza mianya ya vita. Mabeberu wanambinu sana zaidi ya ufikiriavyo na wakiamua kuivuruga nchi ni muda mchache tu meshavurugana.
Kama watu hawakutaki unawacha unafanya mambo yako. Ni sawa umeoa mwanamke na umekaa naye miaka 5 kwa upendo halafu mwanamke anakuambia hakutaki anataka kuishi pekee yake. Unakuwa king'ang'anizi anaanza kukudharau na kutoka na mwanaume mwingine. Na wewe bado unamng'ang'ania tu. Hapo lazima utafute gunia mbili za mkaa halafu mwisho wa yote, mwanamke anakufa na wewe unaozea segerea. Ndicho kilichomtokea Ghadafi. Amekufa, watoto wake wamefungwa fungwa gerezani na nchi ipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi. UNAWASUMBUKIA WATU WAKATI HAWANA MUDA NA WEWE. ANGEENDA KWENYE NCHI YOYOTE AKAISHI HUKO.Angeacha madaraka kisha akaingia mwenye kuweka mbele maslahi ya Libya bado wangemuandama pia.
Sanaaa aseee [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji29][emoji27]Ameshaondoka.
wananchi wa Libya WAKO HURU SASA.
Well said broMabeberu hawachukii dikteta wala mwanademokrasia. Wakichukiacho ni pale dikteta huyu au mwanademokrasia huyu akiziba mianya na kuingilia maslahi yao.
Hehehe hawa wajamaa wapuzi sana hawana udikteta wala nnHuyo mtu mmoja angeachia madaraka nchi isingeingia kwenye vita. Kama watu hawakutaki unang'ang'ania nini? Pesa unayo na mali nyingi. Angeenda nchi yoyote akaishi huko na familia yake. Shida ya viongozi wengi wanafikiri nchi ni yao na wao wanahati miliki ya kukaa madarakani. Hapo ndiyo panapotengeneza mianya ya vita. Mabeberu wanambinu sana zaidi ya ufikiriavyo na wakiamua kuivuruga nchi ni muda mchache tu meshavurugana.
Kwanza unatakiwa uelewe hakuna m2 anaependwa nakila m2 hata kama nchi ina demokrasia ya namna ganiKama watu hawakutaki unawacha unafanya mambo yako. Ni sawa umeoa mwanamke na umekaa naye miaka 5 kwa upendo halafu mwanamke anakuambia hakutaki anataka kuishi pekee yake. Unakuwa king'ang'anizi anaanza kukudharau na kutoka na mwanaume mwingine. Na wewe bado unamng'ang'ania tu. Hapo lazima utafute gunia mbili za mkaa halafu mwisho wa yote, mwanamke anakufa na wewe unaozea segerea. Ndicho kilichomtokea Ghadafi. Amekufa, watoto wake wamefungwa fungwa gerezani na nchi ipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi. UNAWASUMBUKIA WATU WAKATI HAWANA MUDA NA WEWE. ANGEENDA KWENYE NCHI YOYOTE AKAISHI HUKO.
Issue ya Ghadafi ilikuwa ngumu sana. Marekani aliwatumia ndugu zake yaani wananchi wake kwahiyo hapo ni ngumu kung'amua yupi adui yupi rafiki. Ni sawa na mtu anakuchonganisha wewe na ndugu zako mnaanza kupigana. Ukimuua ndugu yako mmoja kwa nia ya kujitetea hata wengine wanaokuunga mkono wataenda kwa adui. Hili kuepuka ugomvi na ndugu zako ni wewe kukimbia, watasema ni muoga lakini utakuwa umewaokoa.Hehehe hawa wajamaa wapuzi sana hawana udikteta wala nn
Wanasababu zaidi ya millioni hapa suala kubwa tu nikwamba wana angalia kaka maslahi yao yako hatarini basi wanakugeuka hata kama utakua na demokrasia gan
IRAN Kila muda flan wanauchaguzi ambao UN Wanakiri kama nihuru na haki y wao wapuuzi wapuuzi kila leo wana komplain
Nakuona kama waajemi kuhusiana na suala la demokrasia washamkosa wana anza kuleta sababu za NYUKLIA Hawa wajamaa sio wakuwaamini hata chembe mkuu nahasa pale unapo ona una anza kuenda kinyume na maslahi yao
Kwan LIBYA Gadfafi alianza kutawala huo mwaka walomuua 2 ,!
US na Wamagharibi kwa ujumla wao wala sio wakuwaamini washenzi sana hawa mbuzi
Je tingepigwa na Iddi Amin?Gadaff alikuja kutulipa wajanja wakaipiga ile hela, Gadaff katufanyia mengi sana tuwe na shukrani kwa maadui zetu....
Swali la msingi ni kwamba je ni uamuzi sahihi kuingiza nchi nzima kwenye kwa sababu ya mtu mmoja kung'ang'ania madaraka? Sawa kiongozi kang'ang'ania ndio kosa lake je ndio tuseme kumtoa kiongozi huyo ni muhimu kiasi cha kuingiza nchi kwenye vita visivyojulikana vitaisha lini? Leo hii tuona Marekani ambayo inawezeka kuipiga Iran ila inashindwa kukurupuka kufanya hivyo kwa sababu ya wanajua kutakuwa na madhara makubwa endapo wataamua kufanya hivyo kwa maana hiyo lazima watafute njia ambayo haitaweza kuleta majanga,sasa ndugu zetu wamechafua nchi yao sasa haikaliki kabisa kisa tu kumuondoa mtu aliyekuwa anang'ang'ania madaraka.Huyo mtu mmoja angeachia madaraka nchi isingeingia kwenye vita. Kama watu hawakutaki unang'ang'ania nini? Pesa unayo na mali nyingi. Angeenda nchi yoyote akaishi huko na familia yake. Shida ya viongozi wengi wanafikiri nchi ni yao na wao wanahati miliki ya kukaa madarakani. Hapo ndiyo panapotengeneza mianya ya vita. Mabeberu wanambinu sana zaidi ya ufikiriavyo na wakiamua kuivuruga nchi ni muda mchache tu meshavurugana.
Huu uzi wakiuona ccm watatumia kama reference ili Jiwe atawale milele.RIPOTI: ‘GADDAFI ALIUAWA KIMAKOSA’
Raia wa Libya sasa hivi wanaishi maisha ya tabu ukilinganisha na kipindi cha utawala wa Kanali Gaddafi.
LONDON:
Ripoti ya Kamati ya Bunge Uingereza imekosoa hatua ya Uingereza na Ufaransa kuingilia kati na kusaidia kuondolewa madarakani kwa Kanali Muammar Gaddafi nchini Libya mwaka 2011.
Kamati hiyo ya Mambo ya Nje ilisema Uingereza iliongeza chumvi ilipokuwa inaeleza hatari ambazo zingewakumba raia baada ya Serikali ya Gaddafi kuanza kukabiliana na maasi.
Mpango wa kuingia kati kusaidia mwishowe ulitumika kama fursa ya kubadilisha utawala, ripoti hiyo ilisema. Pia, ripoti hiyo inamtuhumu aliyekuwa Waziri Mkuu David Cameron kwa kukosa kuandaa mkakati mahususi kuhusu Libya.
Wabunge hao walisema jambo hilo lilisababisha kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe, mgogoro wa wahamiaji, ukiukwaji wa haki za kibinamu na kukua kwa kundi la wapiganaji wa Kiislamu wanaojiita Islamic State Afrika Kaskazini.
Msemaji wa Serikali ya Uingereza ametetea Serikali na kusema muungano wa mataifa ya Kiarabu, Arab League, na Umoja wa Mataifa, wote waliunga mkono hatua hiyo ya kijeshi.
Gaddafi aliuawa na waasi 20 Oktoba, 2011 na kuwaacha raia wa nchi yake wakiteseka baada ya kutetereka kwa uchumi wa nchi hiyo hali inayochangia kuongezeka kwa wakimbizi barani Ulaya.
Habari kutoka Libya zilisema kwamba Gaddafi alifariki dunia baada ya kujeruhiwa kichwani na miguuni alipokuwa akijaribu kutoroka kutoka Sirte.
Habari zaidi zilisema kuwa Gaddafi akiwa kwenye msafara mkubwa wa magari alijaribu kutoroka punde baada ya wanamapinduzi wa Libya kuutwaa mji huo.
Baadaye ndege za kivita za Nato ziliufuata msafara huo na kuudondoshea mabomu na Gaddafi alijeruhiwa kichwani na miguuni.
Kuuawa kwa Gaddafi kulithibitishwa na kamanda wa ngazi za juu wa jeshi la wanamapinduzi, Abdel Majid Mlegta kwa kusema ushahidi wa picha na video ulitolewa hadharani. Gaddafi aliiongoza Libya tangu alipompindua Mfalme Idris I, katika mapinduzi yasiyo ya umwagaji damu, wakati huo akiwa na miaka 27
Alipata umaarufu mkubwa kutokana na nguo alizopenda kuvaa, huku akiongozana na walinzi wa kike. Kiongozi huyo wa Libya, pia anadhaniwa kuwa na mbinu nzuri za kisiasa, kwa kuweza kuirejesha Libya kutokana na kutengwa kidiplomasia duniani.
Alipokuwa kijana alivutiwa na kiongozi mzalendo wa Misri, Gamal Abdel Nasser, alipokuwa akishiriki katika maandamano dhidi ya Israel wakati wa mtafaruku wa Suez mwaka 1956.
DONDOO:
Rais wa zamani wa Marekani, Ronald Reagan alimwita Gaddafi ‘mad dog’ yaani ‘mbwa kichaa’.
Kutoka katika Gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa 32 ukielezea habari za Afrika.
Uongozi unahitaji busara na hekima na wala siyo nguvu. Wote mkiwa na hasira lazima ngumi zipigwe tu hakuna jinsi. Watu wanasema utoke uwachie nchi yao na wewe unang'ang;ania sitoki. Unafikiri kinachofuata nini? Ukiwa kiongozi wewe ndiyo unatakiwa ufikiri zaidi kuliko unaowaongoza. Ni sawa baba na mtoto. Watoto wanasema hatukutambui kuwa baba yetu. Na wewe baba unang'ang'ania nyie ni wanangu. Mwisho wa siku unaanza kupigana na watoto wako lakini baba ukijiondokea. Hawa watoto ipo siku watakutafuta na watakupokea kwa heshima. Ghadafi angeondoka zake, huku mambo yangeenda kombo wangemtafuta tu. Yesu mwenyewe pamoja na kufanya mazuri lakini walimsurubisha. Je, wewe mwanadamu? Hawawezi kukuacha hai.Swali la msingi ni kwamba je ni uamuzi sahihi kuingiza nchi nzima kwenye kwa sababu ya mtu mmoja kung'ang'ania madaraka? Sawa kiongozi kang'ang'ania ndio kosa lake je ndio tuseme kumtoa kiongozi huyo ni muhimu kiasi cha kuingiza nchi kwenye vita visivyojulikana vitaisha lini? zima watafute njia ambayo haitaweza kuleta majanga,sasa ndugu zetu wamechafua nchi yao sasa haikaliki kabisa kisa tu kumuondoa mtu aliyekuwa anang'ang'ania madaraka.
Ameshaondoka.
wananchi wa Libya WAKO HURU SASA.
Late Gaddafi aliendesha nchi kama familia yake japo ilitafsiriwa kama u dictator maana hakuwa na msalia mtume na mtu aliyetaka kumyumbisha wether alikuwa wrong or right, in the same manner ndio ambavyo baba zetu wanasakamwa kuwa na mfumo dume kuwa simba mjengoni ila linapokuja swala la kupenda familia yani mke na watoto kupata mahitaji yao yotr muhimu na kuimarisha nidhamu hawanaga mpinzani.
Huwa naona Libyans were stupid punks, ila ndivyo ilivyo huwa thamani ya wema huonekana mtenda wema akiwa hayupo.
Gadaffi aliitwa dictator na kundi la watu waliokuwa hawamkubali na hawapendi aendelee kutawala Libya kama raisi,mbali na hapo ni watu waliokuwa wanatamnaitafsiri kama chuki binafsi tu...Ila that never hides the fact kwamba the guy was generous.