bwaiseekwetu
Senior Member
- May 29, 2022
- 193
- 487
Kwani marehemu kaomba umuonee huruma? Na nani alisema marehemu anaonewa huruma?Sijawahi kuwa na wema wowote wala huruma kwa polisi yoyote.
Fisadi,Kwani marehemu kaomba umuonee huruma? Na nani alisema marehemu anaonewa huruma?
Hawa wajinga wametumika kifala sana kumbakiza samuya madaraka ilihali uwezo hana & wala hakuchaguliwa na watz walio wengi!.Kwani marehemu kaomba umuonee huruma? Na nani alisema marehemu anaonewa huruma?