Hapa Tanzagiza mbona upinzani ulishaamia kwa wanainchi siku nyingi sana.
Sasa hivi mpinzani mkuu wa serikali ya ccm ni wanainchi na sio CHADEMA tena.
Nyie endeleeni kuboresha maslahi ya mapolisi huku mkiomba waendelee kuwa wajinga, maana ndio wanaofanya mkalie hizo ofisi mpaka muda huu.