Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,316
Ajali mbaya imetokea eneo la Taifa ambapo imehusisha boda boda, carry na noah na mwenye boda boda kufariki papo hapo.
Picha ya maiti sikuchukua maana inatisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ya maiti sikuchukua maana inatisha.
Sent using Jamii Forums mobile app