Leo nimemkumbuka sana Braza Ukiwaona Ditopile Mwinshehe wa Mzuzuri....laiti angekuwepo wakati huu wa kampeni...tungepata burdani sana....sio hizi kamba na vinana
Leo nimemkumbuka sana Braza Ukiwaona Ditopile Mwinshehe wa Mzuzuri....laiti angekuwepo wakati huu wa kampeni...tungepata burdani sana....sio hizi kamba na vinana
huyu aliyowahi kuhojiwa na waandishi wa habari kuhusu skendo ya kutembea na mke wa mtu akawajibu kuwa pilipili ya shamba yawawashia nini..mwenye mke katulia wao wanawashwa na nini...
Japo naye ana-chakukumbukwa ameacha jina lake kwenye kituo cha daladala pale njia panda ya Kawe... Japo wanajeshi wamepiga marufuku kutumika... Nadhani mpaka patokee ajali mbaya pale darajani watakirudisha...