RIP ALLY YANGA

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,063
Hii ndio gari iliyopata ajali na kuchukua uhai wa shabiki maarufu wa timu ya yanga Ally Yanga
 
CHANZO CHA MAPATO YAKE KILIKUWA NINI MAANA KILA TUKIO LINALOHUSISHA WATU WENGI ALISHIRIKI
 
Pumzika kwa Amani,Ally Yanga
 
Dah, imetokea wapi hii Mkuu, halafu me mwenyewe niko safarini, unantisha.
 
Aliemwambia akakimbize mwenge nani? Vitu ambavyo havinaga faida kwa watanzania mwenge? WTF?? anyway
 
Tutakukumbuka katika jitihada zako za kuhakikisha Jembe Magufuli anatinga Ikulu....

TINGA TINGA LIKO UWANJANI
 
Zile speed za magari ya mwenge hupaswi kuiga asee, kwenye vumbi hamuonani ila ndukiii mtindo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…