Dada mkubwa hiki unachoongea sio sawa hata kama kinakuingizia kipato, usiongee tu kwakua unapata hela hebu vaa viatu waza ni mtoto wako hiyo hela unaifurahia nini wakati mtoto wako ameharibiwa? Hiyo hela ina thamani kumzidi mwanao?Kwa nature ya kazi yangu, nikiwabagua hawa viumbe nimekosa kibarua.
Equality and Diversity is the current term used for 'Equal Opportunities'. It is the legal obligation to protect against discrimination. Discrimination can be against a person's sex, gender, disability, sexual orientation, religion, belief, race or age.May be kwakua ni wa watu hawamhusu, au anapata kipato hiyo anaona sawa
Tetea mie nakuombea upate kidume afu uendelee na hizi SeraEquality and Diversity is the current term used for 'Equal Opportunities'. It is the legal obligation to protect against discrimination. Discrimination can be against a person's sex, gender, disability, sexual orientation, religion, belief, race or age.
kwasababu tupo nyuma ya keyboard lolote linawezekana, ila chunga sana kuna mwanamke kama wewe anahuzunika maisha yake yote kwa ajili yakeNinaelewa feelings zako lakini hii ni sheria ambayo Tanzania haijapitishwa, kwa nchi zinazofuata hii sheria wewe ungekua mhalifu.
Wewe kwenu akitokea mtu anatabia za kishoga utafanyaje?Siku ndugu zako wa kiume ukiwakuta wanafanya tabia hizo ndo utajua kama ni kweli maamuzi yake hayaingiliani na maisha yako, ila ukitumia akili utajua how yanaingiliana sema ndo women weakness hisia ndo muhimu kwao huku mbele giza they don't give a damn what will happen next na yakishatokea wahanga wakubwa ni nyinyi nyinyi women, muache kuwa selfish kwa kusupport upuuzi, ungekuwa karibu ningekuchapa bakora kadhaa ushike adabu yako, mfyuuuuuuuuu.
Hii dunia ina watu zaidi ya Bilioni saba na wanaomuabudu huyo mungu wako sio wote.....sasa usitake kila mtu afikiri na kutenda kama wewe na dini yako.....Hata km ni nature ya kazi. Utacheka kazin lkn mbele ya safari utakereka. Hii tabia sio nzuri na ni kwel wanawake wanapenda sana kukaa na mashoga. Kuwa entertain ndo kunafanya idadi yao iongezeke kadri siku zinavyoenda. Mungy kakuumba mwanaume hlf unakua mwanamke hlf unasema wana haki. Haki gani?? Kwakwel mm cwapend hawa wa2 kwanza ndo wanafanya m2 uogope kuzaa mtoto wa kiume. Km amri yg wakamatwe wachomwe moto
Ni after all but ina be pronounced like afterollSikufundishwa kuwa mbaguzi kutoka dini, rangi, kabila, sura after roll who is perfect?
Inmatessijui kwanini wanawake mnawapenda sana hao watu
Pole sana dada naona mwanamke mwenzako kaamua kujitoa ufahamu ili ajilie hela haramu ! Hivi vitu vinaumiza sana yaskie kwa jirani mwombe Mungu yasikukute!!Dada mkubwa hiki unachoongea sio sawa hata kama kinakuingizia kipato, usiongee tu kwakua unapata hela hebu vaa viatu waza ni mtoto wako hiyo hela unaifurahia nini wakati mtoto wako ameharibiwa? Hiyo hela ina thamani kumzidi mwanao?
Anyway kwa story zako hapa jf it seems bado hujapata mtoto siku ukipata afu wa kiume sidhani kama utaongea kama unavoongea leo
Kuna madaktari wameacha kazi kwasababu kazi waliopewa ni kugawa vilainishi kwa mashoga na wanalipwa mkwanja mrefu ila wameacha hawawezi kama ni mtu usiependa huu uchafu sio swala la kujitetea wala kwamba ndo kibarua fine ni kibarua ila huna chembe ya kuona unachoongea hakifai..... Waone tu hivo ila asiwe ndugu yako INAUMIZA
Sorry no disrespect pamoja sikufahamu ila umenichefua khaaUkiwa na rafiki gay ni watu wazuri sana, sio selfish, he will be there for you 24/7, he will share with you all his up and downs. Pia wengi wao wako delicate sana wakiumizwa. Being hurt for them is so painful.
Hii yatosha sana yeye kusema gays ni watu wazuri, delicate, wanaumizwa and they are there for you ukiwahitaji, ila mama ake na Rio hapo anaona Dunia inamzomea anatamani apotee kwenye hii DuniaIla hana mtoto na hajaolewa. Kwa sasa yupo masomoni UK yanayohusu unesi. Kama atakuwa na la kuongezea ataongeza hasa jinsi anavyomegwa na Daktari ambaye ni Mwalimu wake kutoka Ghana
Mmh kwaheri
Ha ha ha ha ha ha haDu unaweza kuandika bibliography ya maisha yangu mkuu.
Hakuna njia zaidi ya kumrudisha kwenye njia ya kumpwekesha na kumuhofia Mwenyezi Mungu, akishampwekesha na kumhofia Mwenyezi Mungu then ndo zitafuata hatua nyingine za kitabibu kama kumsafisha sehemu yake ya siri na kumpa ushauri wa kisaikolojia, pia kumuepusha na marafiki aliokuwa nao awali na na life style aliyokuwa nayo. Mimi nimeshakutana na dada mmoja ambaye mdogo wake alikuwa na hizo tabia, alikuta picha za uume na picha za wanaume wakifanya ngono kwenye simu yake, baada ya kumuhoji alikiri kufanya huo mchezo na alituelezea kwamba aliuanza baada ya kuingiliwa na mume wa mamayake mdogo aliyekuwa akiishi nae wakati akiwa bado mdogo, yule mwanaume alimuahidi vitu mbali mbali pamoja na kumpa pesa, sasa baada ya kukua akashindwa kuacha kwa kuwa mwanume anapoingiliwa huko nyuma ambako hapakuumbwa kupokea shahawa za mwanume basi hupelekea vijidudu vilivyoko kwenye shahawa ambavyo vikiingia kwenye uke wa mwanamke huwa havileti madhara kutokana na maumbile yako specific kwa ajili hiyo ila kwa mwanaume vile vijidudu hula yale manii na yakiisha huanza kutafuna ngozi ya sehemu ya siri ya huyo mwanaume ambayo imeumbwa ni laini, hiyo hupelekea yule mwanaume kupata muwasho na njia pekee ni kuingiliwa tena ili yale manii yakiingia ndio yawe chakula cha hao bacteria tena. Yule dada aliuumia sana kisaikolojia Kwani alikuta mpaka ujumbe mdogo wake akiwasiliana na wanaume na kutangaza biashara "nauza mku...", mwanzo ilikuwa ni siri yake ya peke yake na alihangaika sana mpaka kwa wanasaikolojia lakini hakufanikiwa mpaka ilipogundulika kwa familia.Tulitumia approach hiyo hapo juu na ilimsaidia sana mdogo wake.Wewe kwenu akitokea mtu anatabia za kishoga utafanyaje?