Paul peter siniga,maarufu kama Rio paul, ni kijana wa kipekee kutoka Tanzania, anayewakilisha Vijana kwenye mkutano wa Umoja wa mataifa (UN) unaofanyika marekani,Newyork. Kijana huyo pia ambaye ni mwanamitindo yupo nchini marekani akihudhuria show kubwa ambapo waliudhuria mastaa mbali mbali wa nchini humo, rio pia ni balozi wa makampuni mbali mbali nchini ikiwemo Tanzanite,balozi wa amani akitetea haki juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na mambo ya maendeleo.
Rio ni kijana ambaye anahusishwa pia kwenye scandal ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ,swali ni je? kutokana na operation ya bwana hamis na paul makonda ya kutokomeza ushoga nchini, hyu kijana atasalimika?, rio amekua akiwakilisha Tanzania kwenye nchi mbali mbali duniani ,nakumbuka hata mwaka jana au juzi alialikwa pia bungeni.
Angalia post#2 hapo juu na ujibu ulichoulizwa.Akina makonda mtamkamata na huyu au mnawaonea tu akina kaoge na james delicious?
Huyo jamaa ni kiongozi? Kiongozi pekee, kiongozi wa nini?Kufika tu huko ni maajabu, achilia mbali kufika marekani, kuhudhuria mkutano wa UN kama kiongozi pekee kutoka Tz sio kitu cha sport aiseeh,hata wasomi wameshindwaaa.
Ni balozi wa vijana UN kwenye mataifa ya AfricaHuyo jamaa ni kiongozi? Kiongozi pekee, kiongozi wa nini?
Paul peter siniga,maarufu kama Rio paul, ni kijana wa kipekee kutoka Tanzania, anayewakilisha Vijana kwenye mkutano wa Umoja wa mataifa (UN) unaofanyika marekani,Newyork. Kijana huyo pia ambaye ni mwanamitindo yupo nchini marekani akihudhuria show kubwa ambapo waliudhuria mastaa mbali mbali wa nchini humo, rio pia ni balozi wa makampuni mbali mbali nchini ikiwemo Tanzanite,balozi wa amani akitetea haki juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na mambo ya maendeleo.
Rio ni kijana ambaye anahusishwa pia kwenye scandal ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ,swali ni je? kutokana na operation ya bwana hamis na paul makonda ya kutokomeza ushoga nchini, hyu kijana atasalimika?, rio amekua akiwakilisha Tanzania kwenye nchi mbali mbali duniani ,nakumbuka hata mwaka jana au juzi alialikwa pia bungeni.
Hao wamezidi sifaAkina makonda mtamkamata na huyu au mnawaonea tu akina kaoge na james delicious?
Huyu hategemei vilainishi vya msaada.Hahahaha akirudi tuu kwanza akienda kutafuta vilainishi anakosa baada ya hapo Siro anamtia nguvuni......
si anarudi navyo tu toka huko,pia atapata marafiki kibao wa kumtumia,ndo maisha aliyochagua bana tusimfatilie sana,bwana konda naye wanadai anatapikiwa vile vile bongo kazi kweli kumjua rijali yupi.Huyu hategemei vilainishi vya msaada.
Maana yake wewe ni gashohiyo international development ndio inaleta ukakasi wa kishoga na sembe!!
mbali na yote jamaa mzuriii akinipa siachiiii
makoooondaaa