Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,467
- 11,641
Siamini mapenzi yanaweza kuua cjui nini na nini aaaagggr" huyu offic mate wangu ni mzee naonaga aibu kumwambia cpnd hadi basi
Huku wamekusikia,uwe unawaambia na huko ukisikia hizo simu zinaita maana si wote members humu!
Mtag hii post
hapa halazmishwi mtu, ni ushauri tu na ushauri unaweza kuupokea au kuukataahii ni free coutry sasa we unataka kulazimisha wote waishi kama unavyoishi wewe? utakuwa sio mzima.
Hizo siyo simu, hizo ni redio zenye simu.Kuna wale vichaa wanaotumia simu za mchina, ukiwa floor ya kwanza inaita hadi wa floor ya 5 anasikia.
Kwanini wasiweke vibration?
Kwaiyo uyo kijana wa ofisini umeshamwambia au jf panatosha kuondoa kero unazopata ofisini kwako!
nshamwambia lakin mbish haelewi, akiambiwa anachukia. Naona kawa addicted.
pole sana hahaaa ikiita unaona aibu au unakumbuka majamboz....
hata humu wapo mpendwa wacha tu wapate ujumbe