Asante sana Mkuu...hayo uliyoweka hapo juu ni kweli. Nilipenda kupita kiasi kwahiyo hata ishara za hatari sikuziona. Heshima ilipopungua, nikaanza ku-comfront the issues..heshima ikawa imeshapotea..."anajiamini" so..kweli sina ndoa. watoto sio wakubwa sana..lakini nimekuwa naongea nao taratibu nisiwachanganye..nao pia wanaona..siwaambii anything negative about their mother. Nawashukuru wote humu JF kwa kunipa confidence ya kuchukua next step...divorce.
Mimi pia nakubali...I'm not a Saint..I had my share of misdeeds..lakini sikuwahi kulala na mwanamke mwingine kama alivyofanya yeye. ndio maana imeniuma. natamani kama ningekuwa jitu la ovyo...namwasha vibao, nalala nje n.k. ... labda nisingekuwa naumia kiasi hiki.Hapo kwenye Bold upo wright kabisa, dont talk anything negative about their mom,
relax na wala usijipe pressure/Depression na wewe anza kumignore taratibu na kuchukulia ni kawaida tu
mara nying situation ikifikia point kama hii huwa hairudi nyuma, hata mkiita wazee na wachungaji mtasuruisha na atarudi ndani kwa siku ama wiki tu na mwisho atarudi Duniani kuendelea na ya kilimwengu
hapa nimehukumu kutokana na maelezo yako tu (one side)
Mimi pia nakubali...I'm not a Saint..I had my share of misdeeds..lakini sikuwahi kulala na mwanamke mwingine kama alivyofanya yeye. ndio maana imeniuma. natamani kama ningekuwa jitu la ovyo...namwasha vibao, nalala nje n.k. ... labda nisingekuwa naumia kiasi hiki.
jaribu kuwa bad boy hata siku moja..
itakusaidia....tena unaanza kumuwasha vibao yule mwalimu wake yule...ikiwezekana hadharani..
unaandaa na mwanasheria kabisa...unamcharaza vibao vya kutosha..
unakuja kwake nae unampa dozi yake.....
likiisha hilo vurugu utashangaa
Huku watanifunga jela nikifanya hivyo...infact...wataniweka "under the Jail" kama itawezekana....jaribu kuwa bad boy hata siku moja..
itakusaidia....tena unaanza kumuwasha vibao yule mwalimu wake yule...ikiwezekana hadharani..
unaandaa na mwanasheria kabisa...unamcharaza vibao vya kutosha..
unakuja kwake nae unampa dozi yake.....
likiisha hilo vurugu utashangaa
Mkuu hiyo investigation nilishaifanya..na vitu nilivyokuta viliniumiza sana kiasi ambacho mpaka sasa nikivifikiria huwa naumia na kuwaza sana. However, nilivi-forward kwenye simu yangu kabla sijam-comfront..na alikataa at first..akakubali vingine...Vingine amekataa kabisa mpaka leo..lakini hajui kama evidence ipo kwenye simu yangu.Juu ya simu
Anaweza kuwa anafuta record ya namba ya mtu huyo na kama ameishika kichwani basi hajaisevu
Sasa angalia records hadi za sms, simu zingine zinakuwa na uwezo wa kuweka record labda 20 dialled na pia received angalia kama zipo chini ya 20( inamaanisha anafuta namba)
Hii unafanya kwa siri jifanye bwegeee wala asihisi unamfuatilia maisha yake anza kumchunguza na usitoe hasira kumwambia unachofanya.
Pia sms not send/ outgoing huwa mara nyingi unaweza baka kitu hapo.
Na kama anafanya kazi lunch vipi? Anakuwa anasema anatoka sana kikazi hata during office hours?
Chunguza pole sana mapenzi yanaumiza, sali sana pia Mungu arudishe amani ndoani.
We have been together for 16yrs. 15 married... Yes I still care but she keeps on hurting me.. Tuna watoto...so I can't stop providing...
bht sina hacra bana ni hawa wanawake wengine wananiudhi bana .........mbona haya mamisimamo mengine tusiyaonyeshe kabla hatujaolewa?? wakati wa uchumba mwonyeshe kuwa akikukosea moja, mbili tatu adhabu yake itakuwa kulala baridi, akiongea mpandishie, akikukosea koroma ili hata akikuoa anajua ameoa mtu wa aina gani. Huyu mkaka kwa jinsi alivyoiweka hii thread yaani namwonea huruma ingawa kiukweli sipaswi kwani bado siujui upande wa pili wa shilingi lakini hayo mambo ya simu tu yanankera!!MwanajamiiOne khaaa! Hasira za nini asubuhi yote hii?
Kusema ukweli I somehow ungana na wanaomtaka huyu bwana awe Bad boy kidogo.........unajua sometimes wanawake wengine huwa tunajisahau bana. Hivi mwanamke unapokubali kuolewa (au kuoana kama wengine wanavyopendelea) huwa anafikiria nini? ndoa ni uwanja wa mapambano?, uwanja wa kubishana au uwanja wa kuonyeshana nani anajua na nani hajui?? Somehow wanawake pamoja na mambo ya kudai usawa na nini, nafasi ya mwanaume itabaki pale pale tuache kuabuse maadili tuliyoyakuta na ambayo hata iweje kujaribu kuyabadilisha ni kucreate chaos kama hizi.
Mwanamke anayeyadharau haya kwa staili ya kijinga mimi nitafurahi kama atakumbushwa hata kama ni kwa kumchapa kibao kimoja, kweli sometimes mwanaume unapaswa kuonyesha na kuutetea uanaume wako bwana ah!!
Mume mpole huyu we acha tu, kweli hakuna wajenzi, anaonekana hana maneno na mtu, wala hataki maugomvi, mwache mwanamke atuke mkojo akanyage ma.... naungana na wenzangu hapo juu huyu mama anahitaji kushekiwa kiduchuKwenye miti kweli hapana wajenzi, nimeamini na mimi, mume huyu anaonekana mpole kweli jinsi anavyojielezea
Nahisi umechelewa mkuu, kawahiwa huyu .......honestly ukiendelea hivi
utanifanya ni fall kwako lol