Rihanna is now worth $1.7 billion, making her the richest female musician in the world

Kwaiyo basi na Kanye West alikuwa sahihi kusema ana $3+ billion.
 
That’s very true lakini pia mwenye Assets zenye thamani kama hii ni rahisi kwenda bank kupata mkopo wa let’s say $700 million kwa sababu bank inajua hata kama akishindwa kulipa ana assets za kutosha wao kuzikamata ili kurudisha pesa yao. Ukilinganisha na watu kama JLO, Madonna na Mariah Carey (who are in this game for so many years as compared to RiRI) ambao bado hawajaigusa worthness ya $1 billion it’s a huge achievement to Rihanna.
 
Absolutely!

Huwezi kupata mkopo wa $700 milioni wakati total assets zako hazifiki $100 milioni.

Kwenye fani yetu hiyo inaitwa ‘insufficient income/ assets for the amount of credit requested’.
 
Reactions: BAK
Bongo hakuna soko , Ukikubalika sehemu yenye watu wengi una uhakika wa kuwa tajiri ,USA ina watu kama 300m na Niaja ina watu kama 180m ,ndio maana wasanii wa naija na us wanakuwa na utajiri wa kutisha sana.
Ukiwa star USA ina maana wewe ni star duniani..kwahiyo huyo Riri usipige hesabu za 300m duniani..piga hesabu za zaidi ya watu billion saba duniani..

Yaani Rihanna akienda ata korea huko anajaza maviwanja na theatres.
 
Bongo hakuna soko , Ukikubalika sehemu yenye watu wengi una uhakika wa kuwa tajiri ,USA ina watu kama 300m na Niaja ina watu kama 180m ,ndio maana wasanii wa naija na us wanakuwa na utajiri wa kutisha sana.
Ndio maana mimi huwa siamini kabisa kama mziki wa bongo unalipa
 
Bongo hakuna soko , Ukikubalika sehemu yenye watu wengi una uhakika wa kuwa tajiri ,USA ina watu kama 300m na Niaja ina watu kama 180m ,ndio maana wasanii wa naija na us wanakuwa na utajiri wa kutisha sana.
Pia inategemea purchasing power ya nchi husika na isiwe nchi ya ulimbukeni wa imported goods, kwa Bongo labda uingie ubia na mtu wa nje, itumike brand name yako lakini vitengenezewe nje. Labda kwa food products lakini si vitu kama vipodozi au mavazi, hivyo ukivitengenezea Bongo umeliwa.
 
Shemu rihanna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…