Rihanna is now worth $1.7 billion, making her the richest female musician in the world

Being worth $1.7 billon haimaanishi ana pesa taslimu $1.7 bilioni.

Hiyo namba ni valuation/ estimate ya biashara zake na zile ambazo ana ubia nazo!

Ikija kwenye cash money, unaweza kukuta hata $ 200 milioni hana kwenye akaunti.

Hawa waandishi huwa hawaweki vizuri perspective na context ya huu utajiri.

Na ndo maana huwa unaona wakati mwingine mtu anapoteza mabilioni mengi au mwingine anapata mabilioni mengi kwa siku, au unaona Bernard Arnault kamzidi Jeff Bezos kwa siku mbili halafu Bezos anakuja kumpiku tena Arnault….

Ni utajiri wa makisio ya thamani za mali, hisa, ubia, nk., kuliko pesa taslimu.

Ukizungumzia pesa taslimu basi akina El Chapo ndo hawakamatiki maana wao biashara zao zipo zaidi kwenye pesa taslimu kuliko kwenye makaratasi.
Kwaiyo basi na Kanye West alikuwa sahihi kusema ana $3+ billion.
 
That’s very true lakini pia mwenye Assets zenye thamani kama hii ni rahisi kwenda bank kupata mkopo wa let’s say $700 million kwa sababu bank inajua hata kama akishindwa kulipa ana assets za kutosha wao kuzikamata ili kurudisha pesa yao. Ukilinganisha na watu kama JLO, Madonna na Mariah Carey (who are in this game for so many years as compared to RiRI) ambao bado hawajaigusa worthness ya $1 billion it’s a huge achievement to Rihanna.
Being worth $1.7 billon haimaanishi ana pesa taslimu $1.7 bilioni.

Hiyo namba ni valuation/ estimate ya biashara zake na zile ambazo ana ubia nazo!

Ikija kwenye cash money, unaweza kukuta hata $ 200 milioni hana kwenye akaunti.

Hawa waandishi huwa hawaweki vizuri perspective na context ya huu utajiri.

Na ndo maana huwa unaona wakati mwingine mtu anapoteza mabilioni mengi au mwingine anapata mabilioni mengi kwa siku, au unaona Bernard Arnault kamzidi Jeff Bezos kwa siku mbili halafu Bezos anakuja kumpiku tena Arnault….

Ni utajiri wa makisio ya thamani za mali, hisa, ubia, nk., kuliko pesa taslimu.

Ukizungumzia pesa taslimu basi akina El Chapo ndo hawakamatiki maana wao biashara zao zipo zaidi kwenye pesa taslimu kuliko kwenye makaratasi.
 
That’s very true lakini pia mwenye Assets zenye thamani kama hii ni rahisi kwenda bank kupata mkopo wa let’s say $700 million kwa sababu bank inajua hata kama akishindwa kulipa ana assets za kutosha wao kuzikamata ili kurudisha pesa yao. Ukilinganisha na watu kama JLO, Madonna na Mariah Carey (who are in game for so many years as compared to RiRI) ambao bado hawajaigusa worthness ya $1 billion it’s a huge achievement to Rihanna.
Absolutely!

Huwezi kupata mkopo wa $700 milioni wakati total assets zako hazifiki $100 milioni.

Kwenye fani yetu hiyo inaitwa ‘insufficient income/ assets for the amount of credit requested’.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bongo hakuna soko , Ukikubalika sehemu yenye watu wengi una uhakika wa kuwa tajiri ,USA ina watu kama 300m na Niaja ina watu kama 180m ,ndio maana wasanii wa naija na us wanakuwa na utajiri wa kutisha sana.
Ukiwa star USA ina maana wewe ni star duniani..kwahiyo huyo Riri usipige hesabu za 300m duniani..piga hesabu za zaidi ya watu billion saba duniani..

Yaani Rihanna akienda ata korea huko anajaza maviwanja na theatres.
 
Bongo hakuna soko , Ukikubalika sehemu yenye watu wengi una uhakika wa kuwa tajiri ,USA ina watu kama 300m na Niaja ina watu kama 180m ,ndio maana wasanii wa naija na us wanakuwa na utajiri wa kutisha sana.
Ndio maana mimi huwa siamini kabisa kama mziki wa bongo unalipa
 
Bongo hakuna soko , Ukikubalika sehemu yenye watu wengi una uhakika wa kuwa tajiri ,USA ina watu kama 300m na Niaja ina watu kama 180m ,ndio maana wasanii wa naija na us wanakuwa na utajiri wa kutisha sana.
Pia inategemea purchasing power ya nchi husika na isiwe nchi ya ulimbukeni wa imported goods, kwa Bongo labda uingie ubia na mtu wa nje, itumike brand name yako lakini vitengenezewe nje. Labda kwa food products lakini si vitu kama vipodozi au mavazi, hivyo ukivitengenezea Bongo umeliwa.
 
One of the most famous singers in the world made the bulk of her money offstage — in a joint venture with LVMH

Rihanna's beauty line accounts for most of her wealth. CAROLINE MCCREDIE/GETTY IMAGES FOR FENTY BEAUTY BY RIHANN

In one of her most popular songs, Rihanna says a certain someone “better have my money.” Well, turns out she got it.

Robin Rihanna Fenty is now a billionaire.

The multi-talented artist is worth $1.7 billion, Forbes reports, making her the second wealthiest female entertainer, after Oprah, and the richest female musician in the world.

While Rihanna, 33, may have gotten her start in music — selling 250 million records globally — her makeup brand is what pushed her into the billionaire’s club. Fenty Beauty launched in 2017 with a message of inclusivity; the makeup brand has more than 50 shades of foundation, often modeled by a diverse group.

The brand is a 50-50 joint venture with luxury goods conglomerate LVMH LVMH, +0.12%, run by the world’s richest person, Bernard Arnault. Forbes estimates that as much as $1.4 billion of the artist’s wealth comes from Fenty Beauty.

Fenty Beauty, sold online and at Sephora (also owned by LVMH), was an instant success. LVMH reported $550 million in annual revenue during the brand’s first full calendar year in 2018.

Fenty Skin has also been a hit, despite launching in the middle of the COVID-19 pandemic. In its annual report, LVMH said the brand “generated unprecedented buzz during the pandemic” and “is off to a very promising start.”

Rihanna has also found success in the lingerie industry. Her Savage x Fenty line raised $115 million in funding with a $1 billion valuation earlier this year. The brand launched in 2018 as a joint venture between Rihanna and Techstyle Fashion Group, but quickly raised capital from investors including rapper Jay-Z’s venture firm Marcy Venture Partners LLC and Avenir Growth Capital.

Of course, the massive fan base (including her 103 million Instagram followers) that helped rocket RiRi’s businesses into the billions is sorely missing her music. After churning out eight studio albums in a decade, the Barbadian artist hasn’t released a new one since her 2016 album “Anti.”
Shemu rihanna
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom