EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,559
- 12,682
Kuna team diamond huko nyuma ya vibodi vyao watakuja kuwashindanisha diamond na Rihanna kwa ukwasi
Jiga+Kirisi Burauni Ndio walimfaidi Sana Huyu *****Asap Rocky anafaidi tu sasa....
Alikuwa bado wamotooo....ila sizani kama atakuja kumpenda mwanaume kuzidi alivyompenda breezeeJiga+Kirisi Burauni Ndio walimfaidi Sana Huyu *****
Ila Manzi Nae wa sana, nakumbuka Rihanna alivunja mahusiano yake na Karim Benzema kwa sababu ya mapenzi yake kwa Chris Brown... Demu Watu Wengi wamemnyanjua sanaAlikuwa bado wamotooo....ila sizani kama atakuja kumpenda mwanaume kuzidi alivyompenda breezee
Daaaaah Riana Stan Accounts, Hii Picha ya Rihana Imekuwa Posted kwenye Account ya Instagram ya DefJamView attachment 1880891
Kama Wema Sepetu tu kwa Bongo.🤣Ila Manzi Nae wa sana, nakumbuka Rihanna alivunja mahusiano yake na Karim Benzema kwa sababu ya mapenzi yake kwa Chris Brown... Demu Watu Wengi wamemnyanjua sana
Acha Kufananisha Kitambi na Mimba Mkuu,Kama Wema Sepetu tu kwa Bongo.
anakula ganja??? anyway ni demu mmoja pisi Kali...ntapiga naye picha one dayRihanna maganja
Tehanakula ganja??? anyway ni demu mmoja pisi Kali...ntapiga naye picha one day
Bado yule muarabu Hassan, drake...Kanye pia kaonjapoIla Manzi Nae wa sana, nakumbuka Rihanna alivunja mahusiano yake na Karim Benzema kwa sababu ya mapenzi yake kwa Chris Brown... Demu Watu Wengi wamemnyanjua sana
Wema mbona wengi tu wamepita, kama Riri.Acha Kufananisha Kitambi na Mimba Mkuu,
Fenty Beauty ndo habari yenyewe imemuingizia pesa nyingi baada ya kuianzisha mwaka 2017.Pesa yake ndefu kuliko wote hawa. Vipodozi vyake vimemuingizia pesa nyingi sana. Kinachonishangaza kavuta pesa nyingi sana kipindi cha Covid-19 miezi 18 iliyopita ambapo watu walikuwa wamejifungia majumbani kutokana na lockdown. Inaelekea warembo pamoja na lockdown walikuwa busy kujiremba majumbani mwao.
Wakina Nandy wakianzisha hii businesaa inakufa...roho mbaya za wabongoo hawakupigi tafuuFenty Beauty ndo habari yenyewe imemuingizia pesa nyingi baada ya kuianzisha mwaka 2017.
Cha msingi amewekeza katika vipodozi vya kope za macho (shades) zaidi ya 40 tofauti kwa za aina zote.
Kwa vile brands nyingi zilikuwa hazitoi choice kwa wateja kuchagua rangi watakazo, Rihana akaona hiyo fursa na akaanzisha hizo rangi zaidi ya 40 na sasa na aina 50.
Pia huyu binti mwenye akili za biashara na washauri wazuri alianzisha range ya nguo za ndani ziitwazo Savage X Fenty ambazo nazo zimelipa.
Hili ni somo kwa akina J Dee, Nandy na wengine na si kufikiria kukarangiza maandazi na biashara za migahawa.
They have to think big.
Fenty Beauty ndo habari yenyewe imemuingizia pesa nyingi baada ya kuianzisha mwaka 2017.
Cha msingi amewekeza katika vipodozi vya kope za macho (shades) zaidi ya 40 tofauti kwa za aina zote.
Kwa vile brands nyingi zilikuwa hazitoi choice kwa wateja kuchagua rangi watakazo, Rihana akaona hiyo fursa na akaanzisha hizo rangi zaidi ya 40 na sasa na aina 50.
Pia huyu binti mwenye akili za biashara na washauri wazuri alianzisha range ya nguo za ndani ziitwazo Savage X Fenty ambazo nazo zimelipa.
Hili ni somo kwa akina J Dee, Nandy na wengine na si kufikiria kukarangiza maandazi na biashara za migahawa.
They have to think big.
Wakina Nandy wakianzisha hii businesaa inakufa...roho mbaya za wabongoo hawakupigi tafuu
Being worth $1.7 billon haimaanishi ana pesa taslimu $1.7 bilioni.Si mchezo 1.7B pesa ndefu sana!! yaani ni 1700m USD ,means akikupa 1m USD ni sawa na Tsh 2.3B na milioni kama 50 hivi na kama ukiamua kila siku utumie laki na nusu utaimaliza baada ya miaka 150 hiyo 1m USD.