Mhhhh...outsider amchum mwanangu kimpango gani??some relatives and close friends can kiss on the chick and thts it....hata hio kwenye chick alipokuwa mchanga with caution mtu kakoleza lipstick anamchum mtoto mashavuni mara kibaby mashavu yana eczemea kutokana na martificial products!A light kiss on the lip is only for mamma,strictly restricted!
add and for papaa gorgeousmimi becoming selfish?
Why would an outsider wants to kiss your children? its simply not acceptable.
Kwangu siruhusu, mtu anakuja anajidai sijui chukuwa mia mia mbili au pesa yoyote kwa wanangu na sasa kwa wajukuu zangu kutoka kwa yeyote. Au sijui pipi. Au ujidai kuja umpakate mtoto, inakhusu nini?
Salaam aleykum, aleykum salaam inatosha kabisa.
Ni tabia mbovu na siziruhusu kwangu hata kidogo.
nchi za magharibi ni kawaida sana kukiss on the lips(light kiss)hii inakuwa mpaka son and mother yaani watoto wakiwa wakubwa even 30...lkn sio tamaduni zetu...but my daughter gets a light kiss japo siku hizi anaona aibu tukiwa mimi na yeye ni poa lkn si mbele ya mtu yoyote!mhhh au mi ndo mshamba,why kiss on the lips,?hata kama ni mzazi,unamfundisha nini mtoto,,at what age do u draw the line not to kiss them anymore,mana ts obvii huwez kuza mtoto till 20 afu mkawa mnachum on the lips kama wapenzi,wanangu ntawapenda than anything but this is not an allowed practice,
mmh......mkuu taratibu!....but my daughter gets a light kiss japo siku hizi anaona aibu tukiwa mimi na yeye ni poa lkn si mbele ya mtu yoyote!
Why would an outsider wants to kiss your children? its simply not acceptable.
Kwangu siruhusu, mtu anakuja anajidai sijui chukuwa mia mia mbili au pesa yoyote kwa wanangu na sasa kwa wajukuu zangu kutoka kwa yeyote. Au sijui pipi. Au ujidai kuja umpakate mtoto, inakhusu nini?
Salaam aleykum, aleykum salaam inatosha kabisa.
Ni tabia mbovu na siziruhusu kwangu hata kidogo.
mmh......mkuu taratibu!
want na sio wants
Thanks, typo.
Acheni ushamba.. kumkiss mwanao kwenye lips ni jambo la kawaida tu.