TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Wanabodi salamu,
Toka mwaka jana mwezi wa 11 tarehe 23 maji ya bomba katika mji wa chalinze yamekuwa ni hadithi na lulu. Hali imekuwa mbaya sana hasa katika kipindi hiki cha mlipuko wa kipindu pindu kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu.
Cha kushangaza katika hali kama hiyo, mbunge wetu haonekani wala kuzingumza chochote, kitu hiki kinafanya watu waanze kujuta kwa nini walimchgua huyu bwana.
WITO WANGU KWA MH. RIZ:
Watu walikuchagua ili wewe uwe msemaji wao, kama shughuli hiyo imekushinda fanya wende watu wachague watu wengine wa vyma vingine labda watakuwa na msaada kwao.
Tumekuchoka labda tukikwambia hivi utasikia.