teheeeteeee Kabadili dini???? sio kang'amua ukweli wa naniliu teheteheteheeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! ila kama ni mwenyewe sasa nadhani anataka kuanza mchakato wa kuchukua form yakugombea Urahisi akitoka babake sasa sijui ni kwa tiketi ya basi gani lol!!!!!!