OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Hapo sijaelewa. Ridhiwani anajiandaa kugombea nafasi gani 2015? Nauliza hivi kwa sababu Jumamosi iliyppita walifika Waislamu wawili hapa Msasani,wamevaa kanzu,wanasema wamepotea njia,wameambiwa Ridhiwani anaishi hapa. Nikiwaelekeza,nendeni mkapande daladala,nendeni hivi,nendeni hivi,mtafika nyumbani kwake Ridhiwani. Wakasema 'asante' wakaondoka.
Takataka hii. Unafiki mkubwa kwenye habari hii. Mimi si muumini wa kushabikia udaku. Mwanahalisi=udaku.
ulitaka ampe mama yako
ukiwa na njaa lazima useme ni udaku, uatashibaje wakati unasubiri mikutano ya magamba ule wali. huna cha kuchangia usidhihaki mada.Takataka hii. Unafiki mkubwa kwenye habari hii. Mimi si muumini wa kushabikia udaku. Mwanahalisi=udaku.
msiwaaminishe wa tz vitu ambavyo havipo,, kwani ni kosa rais kuwa na mtoto?