Hahaha ila huu mwili hapana aiseeHuyo ndio original
HahahahahahaKaa funza
@KikulachoChako hata kama ni kweli mimi simo wala usinitajeMbona kafanana sana na kaka yake @misschagga
nimecheka sana aisee
ha ha haha uchokoziMbona kafanana sana na kaka yake @misschagga
Usione mwili pipa ukajaribu kumlia hela, shughuli yake huiwezimbaya kama mdudu
kwanza akinilalia atanipoteza kabisa na mijasho ilee uwiiiUsione mwili pipa ukajaribu kumlia hela, shughuli yake huiwezi
Mtani umerudi lini kuhesabiwa.....lha ha haha uchokozi
mtani narudi tarehe tanoMtani umerudi lini kuhesabiwa.....l
sawa mtaniMaparachichi tasavali mtani