Nahirat
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 595
- 987
Naona amefuta picha aliokua ameshika msafu. Ili amufuraishe Chidi benzi wa ulaya. Ustar unipite tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habr ya kutaka mzungu ataj nyimbo za kibongo ni sawa na kujiuliza,Wazungu hivi huwa hawazielewi nyimbo zetu? Maana sijasikia akina trump wakisifia nyimbo zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee umemaliza kazi hata mimi niliyekuwa nimeanza kutabasamu nimenuna ghafla
usinivunje mbavu jana nimetoa ubavu mmoja kwa mk wanguhaya nenda kashike na wewe afurahieMbona alimposti huddah moonroe kashika belaire hahahaaa hakuna dili hapo ila anafurahi kuona watu wakishika belaire.