Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Kamundu,
Sasa huo ndiyo uzembe tulionao wa Tanzania. Wewe kama unaishi hapo Houston, na ni mkereketwa wa Utanzania wako, unaweza kusaidia huyu jamaa aka-adhibiwa. Is matter of your guts; kwa nini tunalalamika sana serikali haifanyi kazi na huyu jamaa unaye hapo.
Fanya vitu vyako usiogope mripoti huyu jamaa kuwa anayoi scandal kubwa ya kuibia Africa; na una full evidence. Jamani hivi sisi ni wagonjwa?? Sasa unangoja serikali ifanye hiyo kazi na wewe hapo unaweza kufacilitate.
ni ndoto za mchana eti kum report ashugulikiwe kwani wenye hiyo kazi na wanalipwa kwa pesa za walipa kodi hawayajui hayo?