Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Gazeti la Nipashe la jana tarehe 22/05/2016, lilimnukuu mbunge wa Sumve,mh.Richard Ndassa akiongea mambo kadhaa kuhusu bwana Charles Kitwanga kuingia Bungeni akiwa amelewa.Maelezo ya Ndassa katika gazeti hili yalikuwa yanatoa ujumbe kuwa bwana Kitwanga ni kweli alikuwa amelewa hiyo siku.
Kwa mfano,kuna sehemu gazeti linaripoti kuwa Ndassa anadai kumsihi Kitwanga mara tatu asiingie Bungeni kwa maelezo kuwa Kitwanga alikuwa na dalili za kulewa.Kwa kifupi kaeleza mengi tu juu ya mh.Kitwanga kuonekana amelewa.
Sasa mh. Ndassa ni wakati wa wewe kujitokeza hadharani na kufafanua /kuthibitisha maelezo yako maana sasa tunaona mivutano imeanza na hatuelewi ni nani msema mkweli katika hili sakata hivyo tusaidie.
Waandishi anzeni na mh.Ndassa katika kutafuta ukweli wa jambo hili.