PreGE2025 Richard Mabala ataka Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola au achukuliwe hatua kwa kusema uongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo,

ameandika;

"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."

1742742734301.png

Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
 
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X ameandika;

"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."
View attachment 3281015
Kwa kifupi makalla ni zero brain ndo maana ukuu wa mkoa ulimshinda
 
Kabisa kauli nzito sana. Athibitishe kama hana ushahidi apewe kesi ya kuzua taaruki.
 
Hii ya Amos Makalla ndo hasa maana halisi ya "kuropoka" hovyo...

Na hii ni ishara ya kuwa, huko kwenye kambi ya kijani na njano, wamekuwa very much confused and frustrated na hoja ngumu na za kweli za CHADEMA za kudai mabadiliko ktk mfumo wetu wa uchaguzi zinazochagizwa na kaulimbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION...

Hakukaliki huko. Steven Wassira na mwenzake Amos Makalla wanatembea nchi nzima wakibweka kama mbwa Koko wakiropoka lolote linalotoka midomoni hovyo kama vichaa asiyeweza kupima matokeo (consequences) ya kile kitokacho midomoni mwao....

Apelekwe mahakamani huyo...
 
By the way CCM walishawaona Watanzania ni Misukule Yao.

Kwa mtu kama Makalla unawezaje kutoa kauli kama hiyo ukiwa kama kweli ni Mtu Majini....!

CCM Haina Watu wenye Akili.
 
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo,

ameandika;

"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."

View attachment 3281015
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

Hilo nalo neno.
Mwenye mamlaka ya kutoa matangazo ya milipuko ya maginjwa kama hayo ni nani?
 
Kaleta kichekesho kwenye siasa na tayari kajipatia a.k.a "zee la m pox"
 
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo,

ameandika;

"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."

View attachment 3281015
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Msomi huyo daah, km taifa tuna safari ndefu
 
Hii ya Amos Makalla ndo hasa maana halisi ya "kuropoka" hovyo...

Na hii ni ishara ya kuwa, huko kwenye kambi ya kijani na njano, wamekuwa very much confused and frustrated na hoja ngumu na za kweli za CHADEMA za kudai mabadiliko ktk mfumo wetu wa uchaguzi zinazochagizwa na kaulimbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION...

Hakukaliki huko. Steven Wassira na mwenzake Amos Makalla wanatembea nchi nzima wakibweka kama mbwa Koko wakiropoka lolote linalotoka midomoni hovyo kama vichaa asiyeweza kupima matokeo (consequences) ya kile kitokacho midomoni mwao....

Apelekwe mahakamani huyo...
Eti Wassira naye huko Kagera anasema eti Mbowe hajafariki bali yupo amejificha anauguza majeraha ya matusi aliyotukanwa wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wa taifa. CCM bana dah!
 
Back
Top Bottom