GE2025 Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona.

Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na Aliko Mwaiteleke.
 
Huyo Aliko na Eliud ni ndugu? Kila la kheri! Anayemaliza muda wake anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…