Asante mkuu kwa jibu lako zuriKwa wanaoweka mwaka mzima siku hizi naona wanapewa na option ya kuingiziwa pesa yao kila mwezi,kwa wanaoweka miezi 6 hapo sijajua.
Usisahau bank itakata 10% kama withholding tax kwny pesa yako(najua sijaulizwa ila nimekumbushia tu)
Pamoja mkuu.Asante mkuu kwa jibu lako zuri
Mkuu pesa ipi?! Ile faida au uliyoiweka?Kwa wanaoweka mwaka mzima siku hizi naona wanapewa na option ya kuingiziwa pesa yao kila mwezi,kwa wanaoweka miezi 6 hapo sijajua.
Usisahau bank itakata 10% kama withholding tax kwny pesa yako(najua sijaulizwa ila nimekumbushia tu)
Sawa mkuuNashukuru nimekuelewa mkuu
Sio kweli mkuu, riba za kwny mabenk skuhz hawatumii zile formula za PRT mlizosoma shule ya msng3.5/100 × 6/12 × 3,900,000 = 68250 ukikata na kodi inapungua tena
kwa hela iyo na faida yake ya miezi 6 ni bora nikae nayo tu hela nipige nayo picha,milioni 3 na laki 9 faida elfu 68,haiingii akilini3.5/100 × 6/12 × 3,900,000 = 68250 ukikata na kodi inapungua tena