Rhohingya kuna nini????

Rhohingya kuna nini????

Rohingya ni jamii ya Watu fulani, sio eneo.

Historia isiyo rasmi inaonyesha hii jamii ilitokea Bangladesh na ku settle kwenye sehemu hiyo ya Burma (Arakan region)

Hata ukiwaona hii jamii inafanania Wahindi tofauti na hao wazawa halisi wa Burma...na tatizo la Asia karibu kila jamii ina muonekano tofauti na wengine, tofauti na sisi Waafrika...na ndio maana inakuwa rahisi kunyanyapaana.

Wa Burma (Burmese) wanawaita hao wakimbizi kutoka Bungladesh, na wamewatenga kwenye kambi...na kule Bangladesh wanasema hao ni sehemu ya Burmese, hivyo hawawapokei...wao wenyewe (Rohingya) wanadai eneo wanaloishi hapo Burma ni la kwao tangu enzi za Mababu...sasa nadhani labda waliathirika na hii mipaka iliyowekwa na wakoloni nao kujikuta wapo ndani ya Burma badala ya Bangladeshi....kama vile hapa kwetu itokee mzozo kati ya Wamasai wa Kenya na Tanzania, kule Kenya wakataliwe na sisi huku tuwazuie hivyo wabaki njia panda.

Na kufanya mambo kuwa magumu zaidi jami hii wao ni Waislam tofauti na wenzao ambao ni Mabudha.

Jambo ambalo halizungumzwi sana ni shutuma za "Wazawa" wa Burma kuwa kumekuwa na vitendo vya kigaidi ndani ya Burma na watuhumiwa ni hao wa Rohingya...hivyo wanaona ufumbuzi ni kuwafukuza warudi Bangladeshi...

Na ndio maana hata yule Aung San Suu Kyi anashindwa aegemee upande gani, dizaini kama anaunga mkono waondolewe.
 
Bangladesh hawajafukuzwa hao walohingya tatizo ni kwamba wameelemewa sana na wakimbizi kwa hiyo wameshindwa kuwahudumia wote ndio maana wakafunga mipaka kama unavyoona waarabu wanavyokwama ugiriki kwenda ulaya
fuatilia vizuri, kuna ambao imelazimu kupewa hifadhi maalum ili kuwa Salama
 
Kwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.
Hii dini na wafuasi wake ni waajabu sana, wao wanatumia nguvu kueneza ka dini kao, ngoja wakione kilicho mtoa kanga manyoya shingoni
 
Sio itakuwa kama Rwanda ilishawahi kuwa kama Rwanda kama unazikumbuka movie za rambo zile zote ni hali halisi jinsi ilivyokuwa Myanmar hapo nyuma
Daaah...Rambo kafanya movie za Vietnam na Afghanistan tu !
 
Kwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.
Wacha uongo Mgalatia, hizo ni chuki tu za waabudu masanamu wenzio. Rohingya ni Waislaam wanao ishi vijijini, hawana fursa yoyote ya kimaslahi (hawamo serikalini wala kibiashara) wamefanywa raia daraja la mwisho. Kirchhoff
 
ni kweli, lakini

tupe sababu maana hata nchi Ya Jiran (Bangladesh ) walikokimbilia wa rhohingya nako wameanza kushambuliwa, wanadhambi gani? si bure, kuna sababu
Hawashambuliwi Bangladesh wacha uongo. Adha ya ukimbizi ndio ineleta usumbufu.
 
Hii dini na wafuasi wake ni waajabu sana, wao wanatumia nguvu kueneza ka dini kao, ngoja wakione kilicho mtoa kanga manyoya shingoni
Mgalatia digba sowey wacha chuki na upotoshaji. Hao jamaa wana nyanyaswa na kunyimwa haki na kila fursa, wanapataje huo muda wa kueneza dini !?. Unaenezaje dini kwa majority yenye over 95% !?
 
Kwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.

Nacheka kama mazuri!
Amani iwe kwao
 
......Na ndio maana hata yule Aung San Suu Kyi anashindwa aegemee upande gani, dizaini kama anaunga mkono waondolewe.

Nimekuelewa sana Mkuu!
 
Hawashambuliwi Bangladesh wacha uongo. Adha ya ukimbizi ndio ineleta usumbufu.
wewe hufuatilii media, baadhi yao wamepelekwa sehem maalum kwa ajili Ya usalama wao baada Ya kushambuliwa na wenyeji
 
wewe hufuatilii media, baadhi yao wamepelekwa sehem maalum kwa ajili Ya usalama wao baada Ya kushambuliwa na wenyeji
CGTN (china) jana walikuwa wanaonyesha raia wakawaida wamejihamasisha na kukusanya nguo na chakula na kuwagaia ! Wanajeshi walikuwa wakifanya uandikishaji na kupima afya.
 
Katika pitapita zangu internet nimekutana na hii habari watu kuuawa huko rhohingya na kupelekea kukimbia makazi yao kuelekea bangladesh huku lawama zikitupwa kwa serikari ya myanamar na UN..... Nini hasa kinaendelea huko????
Kuna ISIS wa kikiristo na Kibudha wanaua waislam.
 
Bangladesh hawajafukuzwa hao walohingya tatizo ni kwamba wameelemewa sana na wakimbizi kwa hiyo wameshindwa kuwahudumia wote ndio maana wakafunga mipaka kama unavyoona waarabu wanavyokwama ugiriki kwenda ulaya
Ukubwa wa Bangladesh unaingia hata Mara 20 kwa Tanzania, RAIA wa Bangladesh wanaoishi ndani ya nchi ni zaidi ya Milioni 100, RAIA wa Bangladesh wanaoishi nje ya nchi ni zaidi ya Milioni 100 pia....

Ni kati ya nchi ambayo Serikali yake huwashawishi RAIA wake watoke kwenda kutafuta maisha nchi nyingine, coz Raia ni wengi na wamebanana huku ardhi ikiwa finyu....

Ukiacha hilo then ndo wamepata na mzigo wa Wakimbizi, so pressure imekuwa kubwa toka kwa Raia kuzuia Wakimbizi zaidi...

Japo Wakimbizi wenyewe asili yao haswa ni kutoka Bangladesh.
 
Ardhi yao ni tambarare wakiwa wamezunguukwa na mito mingi, mafuriko hayaepukiki !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom