Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,492
- 145,850
nyani ngabu jeans yako umeichana magotini...how old r u mkuu?
Mkuu ngabu, Nimejikuta natafakari hii signature yako "Miafrika Ndivyo Tulivyo. Talk Shit, Get Hit."
Mkuu jiandae hapo uko katikati ya mdomo wa mamba hapa CBE pale IFM
Hahahaaaaa umenikumbusha videmu vya CBE!
Kichwani hamna kitu kabisa yaani.
Nipo na wachuchu wawili hapa, kama upo serious nije nao nakuachia mmoja huyu.....
Caution:
Wenyeji wa hule mkoa wenye kuku wengi wa kienyeji na mafuta ya alizeti
Natoka hapa wallet pub tabata napanda city centerUko pande zipi?
Mambozaaeehm...
Hivi kwanini unapenda kujipunguzia umri wako?I'm 71yrs young hommie....
Wooooo why do I feel like I recognize that hand...
poa tu mrembo, mualiko umeuona?Mamboz
Hivi kwanini unapenda kujipunguzia umri wako?
Comrade hivi viwanja safari hii umeviamulia.... Ngoja nicheki na Mtambuzi avuke barabara fasta.... Mi nlikuwa nafuturu hapo High Spirit hivi sasa niko naelekea kwa mpango wa kambo hapo kitaa cha Hisaje. Hiki nadhani ule mkataba wetu hautahusika.... ni.kharam kwako..