Hata wakirudi hawawezi fikia zile enzi! Ilikuwa hatari sana, watu wa mwanzo pale walikuwa kina Gondwe 'double G' Paul James, Isack Gamba, Deo Kidudue, Gabriel Jotham, Mkamiti Juma, maripota kama kina Hamis Dambaya, Eigbert Mkoko, Nevile Meena daa ilikuwa si mchezo! Usiku walikuwa na kipindi chao cha hakuna kulala! Jamaa walikuwa vizuri sana