Aisee... Endeleeni hivihivi..
Nimewafuatilia kwa muda na kuwapima..
Naona Mnarejea zile ezi... When you were unstoppable....
Hii collection mnayoicheza sasa inanirudisha sometimes back..
Endeleeni hivihivi.
Tuko nanyi.
Wanatusoma hapa ...wata tagiana.. I mean they will tag each other..Hivi yuko wapi Lazaro matarange, joan tanisa( sijui kama nimepatia jina lake), Ngusa, kamukuru, Bilagaza....the list goes on and on....! majina mengine siyakumbuki bse mara mwisho kuwasikiliza RFA ilikuwa ni mwaka 2000...@data
sky Mhariri mkuu bongo5.comIt has been asked over and over..
Chek hii
Hivi Fredrik bundala (sky woker) na Roy Maganga wa RFA wapo wapi??