RF anahitaji mwenza

Sasa mimi huku ninachokiona ni maneno tu sababu siwezi kusoma body language..., Je Fonts za ukiwa serious na Ukiwa unatania zina tofauti ?, mfano hapa mwalimu LD mimi nipo serious au ?
 
Hapa hauko siriazi kivileee!! Ila jiachie tena kidogooo!!! Usifikirie sanaaaaa!!!

Relax yani!! Sio lazima waelewe kila unachokiandika if not necessary..........ha ha ha!!!stress free zone!!
 
Mhhh... Mbona nimerelax na nicheka meno yote yapo nje..., au inabidi niongeze hizi kwenye sentensi zangu :msela::msela::heh::majani7::whistle:

Kwahiyo siku nikitoa Bango la kutafuta Mwenza utasema nipo serious au ninatania?
 
Kwa wewe nitaamini uko siriazi manake najua kusoma hata katikati ya mistari. Daa we mwanafunzi mzuri sana, umeshafaulu. Nitakutumia zawani yako via PM!!
 
Asante sana..., huwa nipo serious ukinikuta Jukwaa la siasa au nitakapoweka bango langu la kutafuta mwenza.. lakini wakati mwingine, aahh mwendo......:msela:au labda wewe ndio unayenisoma sivyo....
 
Halafu haya mambo yanafurahisha sana. Hivi ndivyo inavyokuwaga? Once a woman always a woman. Haijalishi kama ni yeye kaweka bango au ni mwanaume, mwisho wa siku inabidi uanze upya kumtongoza japo aliitikia wito. Mapozi yenu yatawanukisha
 
Mkuu kwa hizi comment utapata kweli ???, anyway ukifanikisha ni PM unipe maujuzi.....
 
Asante sana..., huwa nipo serious ukinikuta Jukwaa la siasa au nitakapoweka bango langu la kutafuta mwenza.. lakini wakati mwingine, aahh mwendo......:msela:au labda wewe ndio unayenisoma sivyo....

Nilikuvika uhusika tu, sikua namaanisha wewe, mwanafunzi mzuri. Unakulaga hiziopcorn:opcorn:
na hii je :coffee::coffee:unatumia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…