Nicky nicky Senior Member Joined Aug 20, 2011 Posts 106 Reaction score 9 Feb 16, 2014 #1 Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
M mdunya JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 759 Reaction score 128 Feb 16, 2014 #2 Pole mkuu, nafahamu ya CPA tu. Jaribu kwenda chuo cha CBE na ulizia idara ya Procurement, utapata pa kuanzia. Pia ulizia RUTTA academic centre
Pole mkuu, nafahamu ya CPA tu. Jaribu kwenda chuo cha CBE na ulizia idara ya Procurement, utapata pa kuanzia. Pia ulizia RUTTA academic centre
Nicky nicky Senior Member Joined Aug 20, 2011 Posts 106 Reaction score 9 Feb 16, 2014 Thread starter #3 thanks mkuu!
Mbugi JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,488 Reaction score 258 Feb 16, 2014 #4 Nicky nicky said: Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu! Click to expand... Nenda pia TIA MWANZA -uliza Matola/kimario nk. watakusaidia ikiwemo preliminary process ya kulipia.
Nicky nicky said: Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu! Click to expand... Nenda pia TIA MWANZA -uliza Matola/kimario nk. watakusaidia ikiwemo preliminary process ya kulipia.
Nicky nicky Senior Member Joined Aug 20, 2011 Posts 106 Reaction score 9 Feb 17, 2014 Thread starter #5 Mbugi said: Nenda pia TIA MWANZA -uliza Matola/kimario nk. watakusaidia ikiwemo preliminary process ya kulipia. Click to expand... Nashukulu,nitafanyia kazi ushauri!
Mbugi said: Nenda pia TIA MWANZA -uliza Matola/kimario nk. watakusaidia ikiwemo preliminary process ya kulipia. Click to expand... Nashukulu,nitafanyia kazi ushauri!
M MUJINI CHULE Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7 Reaction score 2 Feb 17, 2014 #6 Nicky nicky said: Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu! Click to expand... Nenda cbe darasa la post graduate jion utawakuta wenzako. Lakn pia ningependa kujua unafanya stage gan coz nam nafanya stage 3 nimekosa mshiriki.
Nicky nicky said: Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu! Click to expand... Nenda cbe darasa la post graduate jion utawakuta wenzako. Lakn pia ningependa kujua unafanya stage gan coz nam nafanya stage 3 nimekosa mshiriki.
Nicky nicky Senior Member Joined Aug 20, 2011 Posts 106 Reaction score 9 Feb 18, 2014 Thread starter #7 MUJINI CHULE said: Nenda cbe darasa la post graduate jion utawakuta wenzako. Lakn pia ningependa kujua unafanya stage gan coz nam nafanya stage 3 nimekosa mshiriki. Click to expand... stage 4 mkubwa!
MUJINI CHULE said: Nenda cbe darasa la post graduate jion utawakuta wenzako. Lakn pia ningependa kujua unafanya stage gan coz nam nafanya stage 3 nimekosa mshiriki. Click to expand... stage 4 mkubwa!