Habari za uhakika zilizothibitishwa na rais wa Uganda na Msemaji wa jeshi la Uganda ni kuwa UPDF inapigana bega kwa bega upande wa Salva Kiir dhidi ya Riek Machar..
kwa kuwa wa-congo wameteswa sana na M7, si haki DRC ku-support Machar dhidi ya M7? Ki-jiografia nadhani South Sudan inapakana na Congo DR!