Revealed: Mawasiliano ya Januay Makamba na Muitaliano kuanza kutoka muda wowote kuanzia sasa

Status
Not open for further replies.

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Ni kawaida ya muongo kutokuwa na kumbukumbu. Jana kwa mara nyingine January Makamba alidanganya umma. Sijui kwa maslahi ya nani!...

Huu ni ujumbe wa Muitaliano, ambaye kaapa kuthibitisha uongo wa January Makamba. Huku kesho akiweka kila kitu wazi....
 
Attachments

  • 1457257634482.jpg
    1457257634482.jpg
    39.7 KB · Views: 137
Sijaelewa hapa.
Hivi watanzania wameanza kumtetea huyo Mzungu aliyehonga ili apewe tenda(kama ni kweli)

Kwahiyo angepata tenda asingelalamika?
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wako liable.

Nadhani kama mnamuhukumu January basi na huyo mtaliano naye awemo.

Kumtetea mtaliano ambaye anahonga viongozi ni kushabikia rushwa
 
Ee Mungu nakuomba anza na huyu January na wengne wafate coz hawa ndo wametuibia haki yetu ya rais uliyetupa Mh Lowasa, Naomba na kushukuru kwa Jina la YESU...Amen!!
 
Sijaelewa hapa.
Hivi watanzania wameanza kumtetea huyo Mzungu aliyehonga ili apewe tenda(kama ni kweli)

Kwahiyo angepata tenda asingelalamika?
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wako liable.

Nadhani kama mnamuhukumu January basi na huyo mtaliano naye awemo.

Kumtetea mtaliano ambaye anahonga viongozi ni kushabikia rushwa

Kuna kitu nimeanza kuki sense kuwa hakipo sawa kuhusu hii scandal naona kuna watu wameivamia na kuanza kutengeneza vitu vyao. Ngojea tuone mwisho wake.
 
Sijaelewa hapa.
Hivi watanzania wameanza kumtetea huyo Mzungu aliyehonga ili apewe tenda(kama ni kweli)

Kwahiyo angepata tenda asingelalamika?
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wako liable.

Nadhani kama mnamuhukumu January basi na huyo mtaliano naye awemo.

Kumtetea mtaliano ambaye anahonga viongozi ni kushabikia rushwa
Nakubaliana na ww wote wanamakosa. Lakini viongozi wetu kama January makamba ndiyo wanaotakiwa wahukumiwe kwani ndiye aliyepokea au kuomba hiyo rushwa. Mtaliano amajitokeza kutoonyesha jinsi gani Makamba alivyopokea rushwa. Tunatakiwa kuwaunga mkono watu kama Mtaliano kwani watatusaidia kuwarekebisha viongozi wetu.
 
Sijaelewa hapa.
Hivi watanzania wameanza kumtetea huyo Mzungu aliyehonga ili apewe tenda(kama ni kweli)

Kwahiyo angepata tenda asingelalamika?
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wako liable.

Nadhani kama mnamuhukumu January basi na huyo mtaliano naye awemo.

Kumtetea mtaliano ambaye anahonga viongozi ni kushabikia rushwa
huyu huyu makamba ndio tunakomaa naye.

Mkuu ile Avater yako ya binamu mwanaFA ilikuwa mzuka!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom