Hii kitu imekaa vizuri sana. Yaweza kutumika kama kielezo "analogy", unapofundisha juu ya nguvu iliyomo katika damu ya Yesu.Unakuwa mfano unaoweza kujenga mantiki ya kiroho ya itikadi ya Kibiblia ya wokovu, ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi na mkuu wa dhambi Shetani kama alivyosema mleta mada. Nimekubali hili somo.