Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,931
- 4,009
Lipo Ndugu yangu, lipo japo kuna mgogoroKwa mfano, hivi kanisa la TB Joshua bado lipo? Linaendeleaje? Mbona baada ya yeye kufa na kanisa nalo limekufa?
Bado hajaonekanahuyohuyo mmoja Mungu anapendezwa naye
kwa kuwa Mungu yu hai basi mtumishi wake yupo na anaonekana huyohuyo mmojaBado hajaonekana
Mchungaji Kipilimba 🌹Kumbe TISS ni walokole!
Mchungaji Kipilimba
Yuko askofu Dondosiku hizi kanisa lake kamuachia nani?
nikumbushe, hivi huyo mheshimiwa si aliteuliwa kuwa balozi au? Ni balozi wa nchi gani? Kama sikosei hiyo nchi itakuwa ni ya kiafrika na ipo kusini mwa afrika, nikumbushe ili niweke kumbukumbu sawaYuko askofu Dondo
Kadhalika mama Kipilimba ni Mchungaji
Ni mwendo wa milele amina na utuombeeDemokrasia na Kanisa haviendani ...
Angalieni Katoliki huku ni Amina tu...
Ameshastaafunikumbushe, hivi huyo mheshimiwa si aliteuliwa kuwa balozi au? Ni balozi wa nchi gani? Kama sikosei hiyo nchi itakuwa ni ya kiafrika na ipo kusini mwa afrika, nikumbushe ili niweke kumbukumbu sawa
toeni michango, amina, shule imebomoka... Amina... Shamba la kanisa... Amina, ongezeni sadaka.. Amina, msitoe sarafu toeni noti, ... Amina!Ni mwendo wa milele amina na utuombee
No kuhojitoeni michango, amina, shule imebomoka... Amina... Shamba la kanisa... Amina, ongezeni sadaka.. Amina, msitoe sarafu toeni noti, ... Amina!
Unaweza kuthibitisha?
Amechanganya majina kati ya Moses Maghembe na Rev Majembe aliye mkufunzi wa chuo
Kwa kweli sina za ndani ila Maghembe ni mpangaji wa pale mahali kwa miaka mingi na mpaka alianzisha shule ua sekondari
Za mitaani zinadai huyu bwana alitakiwa kuhama hapo mahali kitambo tu ila janjajanja yake ndio iliendelea kumuweka pale
Sasa wamekuja wamemuondoa kwa nguvu,tunasema kwa nguvu kwani mtu anaendoka kwa hiyari hapaswi kujaziwa wazee na mitutu
amestaafu akiwa balozi wa tanzania nchini namibiaAmeshastaafu
Kabisa kabisa Katoliki tu.Demokrasia na Kanisa haviendani ...
Angalieni Katoliki huku ni Amina tu...
Je Anglican church?Haya nayo ni Makanisa??
Makanisa ya kikristo ni Matatu tu: RC, Lutheran na Sabato.
Mengine yote kuna haja ya Serikali kuyafungia.