Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,431
- 9,452
Kafanya vyema kujitoa TAGMchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu. Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
Haa In Maghembe Voice
Utakufa Vibaya Wewe!!!
Kuna mambo mengi sana ya kidunia yameingizwa katika Ukristo ambayo asili yake ni kuzimu/shetani lakini yamekuwa adopted kutoka upagani(miungu ya kidunia) na kurasmishwa na kuhalalishwa katika taratibu za ibada za kikristo
Mengine yalikuwa too obvious ambayo hata kichaa tu anaona huu utaratibu hautokani na Mungu bali ni wa kidunia ..mfano zamani watu walikuwa wanauziwa vyeti vya msamaha wa dhambi unalipia unapata cheti au hati ya msamaha wa dhambi au tiketi ya kuingia mbinguni unauziwa unalipia unapata kwa fedha yako.
Na vingine vingi aliviona Matin Luther mtiolojia...
Kwa dunia ya sasa hivi ni baadhi ya tuvitu ambavyo vinaonekana ni tudogo tudogo ambavyo ni vya kidunia ambavyo mkristo raia wa mbinguni anapaswa kuviepuka ni pamoja na
1)kujipamba kujiremba hasa wanawake kusuka ,kuvaa mawigi,mapambo,kuvaa make ups ,kujichubua,rangi za kucha kope ,kuvaa kipachika vitu bandia kuvaa vito...kuna makorokoro mengi wanayotumia mapambo kujiremba wanawake ila hizo gadgets ni maagano na kuzimu.
2)njia Uzazi wa mpango dawa za uzazi wa mpango hazizuii mimba isiingie/isifanyike (fertilization)ila zinazuia mimba isitunge (implantation) yani katika ulimwengu wa kiroho anayetumia uzazi wa mpango anahesabika amefanya UTOAJI MIMBA ni kuua ROHO ZA HIZO MIMBA(uuwaji)
3)Pombe wakristo wengi wanafundishwa mafundisho potofu kuwa pombe siyo dhambi na muna wengine wanafika mbali wanatamani hata kuoa mitaala wana amini pia kuwa na wanawake wengi mitaala ndoa za wake wengi(pombe na uzinzi mitaala ndoa za mke zaidi ya mmoja ,maoenzi ya jinsia moja na mengine yanayofanana NI DHAMBI
4)Miziki ya kidunia,tamthiliya,filamu sinema katuni,ma super hero wakidunia superman,bat man,spider man dianey na hollywood nk nyingingi sinema na miziki ya kidunia
5)sikukuu za kipagani xmas,hallowen,happy birth day,na nyongine nyingi...hata hii ya mienge kukimbiza mwenge ..nyingi sana nibfhambi
6)mavazi wanaume wasivae mavazi ya kike na wanawake wasivae mavazi ya kiume ..nguo za fasheni za kidunia ni dhambi
7)michezo kama simba na yanga,ngumi,karate,mieleka n.k olympics n.k mingi sana ni dhambi hata watunisha misuli body builders ,models na ma miss dhambi tupu
8)MIZIMU kutambika mizimu ibada za wafu kama kuomba wafu wawasaidie na kiwatambikia mizimu ni dhambi,kuchanja chale ,kwenda kwa manabii wa mafuta ya upako,waganga wa kienyeji,mafuta ya upako na vitu vya upako kitoka kwq mitume na manabii...ni dhambi
9)
TAG
80% ya viongozi wake ni TIS
KWA KIFUPI VIPO VITU VINGI SANA VYA KAWAIDA tulivyovizoea kuvifanya ambavyo tumejihalalishia au tumehalalishiwa na viongozi wetu wq dini kiroho na vinafanywa hata na viongozi wa kiroho...ambavyo tuna amini na kufikiri kuwa ni halali/SI DHAMBI lakini kiroho ni DHAMBI ,tunaweza tukawa hatujui kuwa tunafanya dhambi lakini haiondoi ukweli kuwa ni dhambi..na hata viongozi wa dini au viongozi wetubwa kiroho ama nao hawafahamu ukweli au wameamua kuogopa kusema ukweli wakiogopa kupoteza waumini..Kuna mambo mengi sana ya kidunia yameingizwa katika Ukristo ambayo asili yake ni UPAGANI /miungu ya kuzimu/shetani lakini yamekuwa adopted kutoka upagani(miungu ya kidunia) na kurasmishwa na kuhalalishwa katika taratibu za ibada za kikristo .
Mengine hapo zamani kidogo yalikuwa too obvious ambayo hata kichaa tu anaona huu utaratibu hautokani na Mungu bali ni wa kidunia/kipagani
..mfano zamani watu walikuwa wanauziwa vyeti vya msamaha wa dhambi unalipia unapata cheti au hati ya msamaha wa dhambi au tiketi ya kuingia mbinguni unauziwa unalipia unapata kwa fedha yako.
Na vingine vingi aliviona Martin Luther (LIUTHERAN) mtiolojia...
Kwa dunia ya sasa ,hivi ni baadhi ya tuvitu ambavyo vinaonekana ni tudogo tudogo ambavyo ni vya kidunia ambavyo mkristo raia wa mbinguni anapaswa kuviepuka ni pamoja na
1)kujipamba kujiremba hasa wanawake kusuka ,kuvaa mawigi,mapambo,kuvaa make ups ,kujichubua,rangi za kucha kope ,kuvaa kipachika vitu bandia kuvaa vito...kuna makorokoro mengi wanayotumia mapambo kujiremba wanawake ila hizo gadgets ni maagano na kuzimu.
2)njia Uzazi wa mpango dawa za uzazi wa mpango hazizuii mimba isiingie/isifanyike (fertilization)ila zinazuia mimba isitunge (implantation) yani katika ulimwengu wa kiroho anayetumia uzazi wa mpango anahesabika amefanya UTOAJI MIMBA ni kuua ROHO ZA HIZO MIMBA(uuwaji)
3)Pombe wakristo wengi wanafundishwa mafundisho potofu kuwa pombe siyo dhambi na muna wengine wanafika mbali wanatamani hata kuoa mitaala wana amini pia kuwa na wanawake wengi mitaala ndoa za wake wengi(pombe na uzinzi mitaala ndoa za mke zaidi ya mmoja ,maoenzi ya jinsia moja na mengine yanayofanana NI DHAMBI
4)Miziki ya kidunia,tamthiliya,filamu sinema katuni,ma super hero wakidunia superman,bat man,spider man dianey na hollywood nk nyingingi sinema na miziki ya kidunia
5)sikukuu za kipagani xmas,hallowen,happy birth day,na nyongine nyingi...hata hii ya mienge kukimbiza mwenge ..nyingi sana nibfhambi
6)mavazi wanaume wasivae mavazi ya kike na wanawake wasivae mavazi ya kiume ..nguo za fasheni za kidunia ni dhambi
7)michezo kama simba na yanga,ngumi,karate,mieleka n.k olympics n.k mingi sana ni dhambi hata watunisha misuli body builders ,models na ma miss dhambi tupu
8)MIZIMU kutambika mizimu ibada za wafu kama kuomba wafu wawasaidie na kiwatambikia mizimu ni dhambi,kuchanja chale ,kwenda kwa manabii wa mafuta ya upako,waganga wa kienyeji,mafuta ya upako na vitu vya upako kitoka kwq mitume na manabii...ni dhambi
9)
Unajua ukitaka kugombana na wajinga wa dini uwaeleze ukweli?
Haya makanisa bandia yote yatakufa. Sio wivu, ila ni ukweli mtupu. Hayana vision wala mission. Ukweli na uongo huwa una tabia ya kujitenga
Africa inarudi ilikokuwa.Kadri siku zinavyoendelea, jinsi inavyozidi kunyesha ndio tunaona panapovuja.
Ukristu huu wa kujianzishia makanisa tunavyotaka, umegeuza makanisa kuwa sehemu ya upigaji na wizi, na sehemu ya kula hela za wengi wenye mahangaiko na wasiojitambua.
Kuna wakati inaonekana ni biashara especially barani Africa.
Kwa mfano, hivi kanisa la TB Joshua bado lipo? Linaendeleaje? Mbona baada ya yeye kufa na kanisa nalo limekufa?
Sauti ya mmoja kati ya mil 60 ni tone tu, mbaya hatusikiiAngebaki huko aendelee kuonya na kukemea visivyofaa. Watu kama hawa ni wachache sana, wengi ni machawa tu
Kabisa la TB Joshua halijafa mkuu,labda wewe ndo umekufa,fatilia vizuri.Kadri siku zinavyoendelea, jinsi inavyozidi kunyesha ndio tunaona panapovuja.
Ukristu huu wa kujianzishia makanisa tunavyotaka, umegeuza makanisa kuwa sehemu ya upigaji na wizi, na sehemu ya kula hela za wengi wenye mahangaiko na wasiojitambua.
Kuna wakati inaonekana ni biashara especially barani Africa.
Kwa mfano, hivi kanisa la TB Joshua bado lipo? Linaendeleaje? Mbona baada ya yeye kufa na kanisa nalo limekufa?
Toa sabato hapo, usifananishe kanisa na viatu vya ajabu, zaidi ya siku wana kingine cha kuhubiri? Labda kuita ukatoliki mnyamaHaya nayo ni Makanisa??
Makanisa ya kikristo ni Matatu tu: RC, Lutheran na Sabato.
Mengine yote kuna haja ya Serikali kuyafungia.
Lile kanisa lilishakuwa na matawi nadhani zaidi ya 10 kila anayetofautiana kidogo tu anafungua kanisa nyumbani kwake,Hapo anawaza kuanzisha la kwake apige hela
Hivyo vyote ni vitu vya kubuni na kujitungia tu, waweza kuvifuata au kuacha navyo anayevifuata na asiyevifuata wote mko sawa tu.Mwisho wenu ni mmoja tu.Kuna mambo mengi sana ya kidunia yameingizwa katika Ukristo ambayo asili yake ni kuzimu/shetani lakini yamekuwa adopted kutoka upagani(miungu ya kidunia) na kurasmishwa na kuhalalishwa katika taratibu za ibada za kikristo
Mengine yalikuwa too obvious ambayo hata kichaa tu anaona huu utaratibu hautokani na Mungu bali ni wa kidunia ..mfano zamani watu walikuwa wanauziwa vyeti vya msamaha wa dhambi unalipia unapata cheti au hati ya msamaha wa dhambi au tiketi ya kuingia mbinguni unauziwa unalipia unapata kwa fedha yako.
Na vingine vingi aliviona Matin Luther mtiolojia...
Kwa dunia ya sasa hivi ni baadhi ya tuvitu ambavyo vinaonekana ni tudogo tudogo ambavyo ni vya kidunia ambavyo mkristo raia wa mbinguni anapaswa kuviepuka ni pamoja na
1)kujipamba kujiremba hasa wanawake kusuka ,kuvaa mawigi,mapambo,kuvaa make ups ,kujichubua,rangi za kucha kope ,kuvaa kipachika vitu bandia kuvaa vito...kuna makorokoro mengi wanayotumia mapambo kujiremba wanawake ila hizo gadgets ni maagano na kuzimu.
2)njia Uzazi wa mpango dawa za uzazi wa mpango hazizuii mimba isiingie/isifanyike (fertilization)ila zinazuia mimba isitunge (implantation) yani katika ulimwengu wa kiroho anayetumia uzazi wa mpango anahesabika amefanya UTOAJI MIMBA ni kuua ROHO ZA HIZO MIMBA(uuwaji)
3)Pombe wakristo wengi wanafundishwa mafundisho potofu kuwa pombe siyo dhambi na muna wengine wanafika mbali wanatamani hata kuoa mitaala wana amini pia kuwa na wanawake wengi mitaala ndoa za wake wengi(pombe na uzinzi mitaala ndoa za mke zaidi ya mmoja ,maoenzi ya jinsia moja na mengine yanayofanana NI DHAMBI
4)Miziki ya kidunia,tamthiliya,filamu sinema katuni,ma super hero wakidunia superman,bat man,spider man dianey na hollywood nk nyingingi sinema na miziki ya kidunia
5)sikukuu za kipagani xmas,hallowen,happy birth day,na nyongine nyingi...hata hii ya mienge kukimbiza mwenge ..nyingi sana nibfhambi
6)mavazi wanaume wasivae mavazi ya kike na wanawake wasivae mavazi ya kiume ..nguo za fasheni za kidunia ni dhambi
7)michezo kama simba na yanga,ngumi,karate,mieleka n.k olympics n.k mingi sana ni dhambi hata watunisha misuli body builders ,models na ma miss dhambi tupu
8)MIZIMU kutambika mizimu ibada za wafu kama kuomba wafu wawasaidie na kiwatambikia mizimu ni dhambi,kuchanja chale ,kwenda kwa manabii wa mafuta ya upako,waganga wa kienyeji,mafuta ya upako na vitu vya upako kitoka kwq mitume na manabii...ni dhambi
9)
kama yule aliyekuwa askofu mkuuTAG
80% ya viongozi wake ni TIS
mbona nyendo zao zinaonesha ni wenyewe? Hawawezi kujificha wale kwa watu wenye akili kubwa kuwabainiMbona tunaamini kila mtu mwenye janja janja ni TISS?
sio walokole tu hata wapagani wapoKumbe TISS ni walokole!