Rev Fr Masanilo and Bujibuji!!!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,212
Reaction score
35,865
Kiukweli hawa jamaa post zao kiboko,huwa nacheka kama juha!huwa nachoka kabisa Rev Fr Masanilo anapowatania ndugu zetu waleee(suruali fupi fupi!!).wakuu mna talent ya kuchekesha kwenye keyboard!!
 
ukiona siku imekaa vibaya we tafuta post za hawa jamaa lazima uvunje mbavu!!
 
Rev Masanilo anapenda siasa,halafu ana majibu mafupi ya kuchekesha.
Bujibuji yeye navyohisi hayupo kisiasa sana ila anapenda majukwaa mengi.
ila wote nawakubali
 
Sijawahi kuziona post zao. Ngoja kuanzia leo nizitafute ili nami nicheke.
 
Hahahahaha word ni kweli usemayo,they always make me hapy
 
Sijawahi kuziona post zao. Ngoja kuanzia leo nizitafute ili nami nicheke.

JF Senior Expert Member Array


Join Date : 2nd February 2011

Location : DUNIANI

Posts : 4,753

Rep Power : 30




Kwa speed hiyo hapo juu inawezekana hutoziona kabisa post zao, maana inaonekana hutulii sehemu ukarelax.
 
Rev Masanilo anapenda siasa,halafu ana majibu mafupi ya kuchekesha.
Bujibuji yeye navyohisi hayupo kisiasa sana ila anapenda majukwaa mengi.
ila wote nawakubali

Halafu na wewe Excellent ni Bujibuji, nahisi kuna haja eitha ya kurusha shilingi au kupiga ramli
 
Rev kilaza tu..hana lolote!
Bujibuji afadhali
 
Halafu na wewe Excellent ni Bujibuji, nahisi kuna haja eitha ya kurusha shilingi au kupiga ramli
Bujibuji basi turushe shilingi....ila atakayeshinda sijui atumie jina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…