meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,464 Reaction score 4,832 Dec 27, 2012 #1 Kuna matangazo yanaendelea huku Arusha kuwa Mr Eddo anapanga kufanya fundrising katika shule yake ya zamani Arusha Secondary School. Amewataka wale wote waliosoma shule hii kujitokeza na kumuunga mkono. Kazi kwenu wana wa Arusha sec!wazee wa mapisi!
Kuna matangazo yanaendelea huku Arusha kuwa Mr Eddo anapanga kufanya fundrising katika shule yake ya zamani Arusha Secondary School. Amewataka wale wote waliosoma shule hii kujitokeza na kumuunga mkono. Kazi kwenu wana wa Arusha sec!wazee wa mapisi!
meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,464 Reaction score 4,832 Dec 27, 2012 Thread starter #2 naona mkuu eddo kaamua kuja kivingine!
T timbilimu JF-Expert Member Joined Sep 2, 2010 Posts 4,875 Reaction score 1,525 Dec 28, 2012 #3 meningitis said: naona mkuu eddo kaamua kuja kivingine! Click to expand... ni jambo zuri kuchangia maendeleo ya shule zilizotufikisha hapa tulipo,binafsi nikipita Muhimbili Primary School na Tambaza Sec. School na kuona zilivyo choka inaniuma sana!
meningitis said: naona mkuu eddo kaamua kuja kivingine! Click to expand... ni jambo zuri kuchangia maendeleo ya shule zilizotufikisha hapa tulipo,binafsi nikipita Muhimbili Primary School na Tambaza Sec. School na kuona zilivyo choka inaniuma sana!