Reuben Ndege kavae viatu vya jasiri uingoze njia

sasa hapo nieleweshe tena, Geopol wanafanya tafiti kwa kutumia mobile partners kwa kuchukua namba za simu, Namba za simu wanazitumiaje ili kupata Data za wasikilizaji..?
 
Mkuu nimekuwekea link soma tu. utajua zaidi
 
asante kwa ufafanuzi, ila kwa suala la mitandao ya simu kutoa namba zetu bila ridhaa yetu wajitathmin
 
Yaani Clouds kabla ya 2014 walikuwa mikoa 5 tu??

Mkuu embu itaje hiyo mikoa mitano tafadhali
 
Tatizo unajifunga sana na hiyo dhana 'usela' kuwa msela haimaanishi kwamba uta behave unprofessionally. Usela ni spirit ya ujana kama ambavyo brand yenyewe ina usela ila weledi hauachwi nyuma.
 
Historia yako mbovu ya nyuma inaweza ikakuharibia mbeleni na ndio maana.

Nafasi nyingi za ukurugenzi,lazima watizame mienendo yako huko nyuma na nidhamu yako bila kusahau uchapa kazi wako na kipi ulicho achieve.
 
jkwahiyo tabia ya mtu ndio kila kitu
 
Nilisema Huu uzi bila picha ni sawa na.........utamalizia mwenyewe
kwa ulimwengu huu wa teknolojia lilikuwa sio suala la wewe kuoomba picha, wakati mwingine jiongeze ndenda google utapata kila kitu
Apeleke na yeye basi uko google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…