Reuben Ndege kavae viatu vya jasiri uingoze njia

Mkuu usidanganye umati Clouds hawajawahi ongoza before 2014 sababu walikuwa wanafika mikoa 5 tu hahahahaha usichojua ni kama usiku wa giza... nakwambia nenda kacheki leseni yao wamefika nchi nzima lini? hahahahahahahaahhahahah kabla ndo mana nasema tunabishana hapa na watu wasiojua kitu ila ujuaji mwingi..kama una ndugu clouds muuulize wameanza kufika nchi nzima mwaka gani..hehehehe utashangaa na roho yako. Na geopol hawaendi kwa TCRA...wanaenda kwa makampuni ya simu kuchukua namba za watu waliopo mikoani. TCRA haihusiani na Geopoll kabisaaaa... na wala hawashare utafiti. Geopoll wanafanya utafiti kwa kutumia mobile partners wao ni vodacom na halotel tigo sasa TCRA anatoka wapi hapo ndugu yangu. geopoll kila mwaka wanatoa mkuu tena kila mwezi mpaka leo ninao data zao sema su nikutumie PM

Tusiongeee kwa Mdomo tu Naomba angalia hii ripoti ni ya mwaka 2010 na niambie Clouds hapo imeandikwa inafika mikoa mingapi. http://www.tv4d.org/Tanzania_4_Mediaprofile.pdf

kuanzia 1995 - 2010 ni RFA Radio One na TBC pekee waliokuwa wanafika mikoa yote. sasa ndugu huyo clouds kawaje namba moja Tanzania wakati kaanza kufika mikoa yote 2012 - 2014. hio miaka 20 ya kuongoza inatokea wapi?
sasa hapo nieleweshe tena, Geopol wanafanya tafiti kwa kutumia mobile partners kwa kuchukua namba za simu, Namba za simu wanazitumiaje ili kupata Data za wasikilizaji..?
 
sasa hapo nieleweshe tena, Geopol wanafanya tafiti kwa kutumia mobile partners kwa kuchukua namba za simu, Namba za simu wanazitumiaje ili kupata Data za wasikilizaji..?
Mkuu nimekuwekea link soma tu. utajua zaidi
 
Bro inaonekana wewe hujui hii industry hebu nikueleweshe. TCRA hawana vifaa vya kujua idadi ya wasikilizaji kwa redio au TV yeyote ivo vifaa vinaitwa ppp metere. Tanzania havipo! Marekani ndo vipo tena kwa makampuni baadhi. Wanachofanya kampuni za utafiti ni hivi. Wanachukua namba za simu kutoka kwa mitandao ya simu. Namba hizo wakichukua huwa wanawaomba watu hao kushiriki katika utafiti kwa njia ya sms au kwa simu. WAtu hao wakikubali ndio wanakuwa sample size kujibu ' unasikiliza redio gani' sampuli hii ndo hutumika kujua idadi ya wasikilizaji. Geopoll hufanya hivi, ipsos wanaenda mikoa yote na kufanya interview ya sample kama watu 1000 kwa mkoa. Sampuli hizi ndio hutengeneza data. Ndio mana nikakushangaa sana ulivosema TCRA wanatoa hizi ripoti...TCRA hawana maana ni gharama kufanya huo utafiti na wao hawahitaji haiwasaidii lolote, hata wakitoa itakuwa inawahatarisha maredio matv maana itawakosesha biashara wateja wao ambao watakuwa wameshika namba za mwisho tcra hahitaji kutoa hizo ripoti ila hayo makampuni kama geopoll na ipsos huuza izo ripoti kwa madolla elfu 7 hadi elfu 10. Kama tu haujawahi kutangaza kitu chochote redioni au kwenye tv ndo huwezi jua haya mambo ila sisi tuliopitia kazi nyingi hizo ripoti tumeziona na tunazo mkuuu ni kuelimishana tu. Na narudi hawezi mtu ambae anafika mikoa 20 akapitwa na mtu anaefika mikoa mitano. Hiko kitu hakipo. Ni kama wakati ule EFM walivosema wana wasikilizaji wengi kuliko Clouds fm wakata wao walikuepo katika mkoa mmoja tu...hahhaah yale yalikuwa magumashi. kuanzia 2012 kwenda mbele clouds anaweza kusema kaongoza ila sio miaka yote... na ukicheka kuanzia hapo mpaka sasa ni miaka mitano tu au 6 ..... kwahiyo usiwape sifa ambazo hawana.
asante kwa ufafanuzi, ila kwa suala la mitandao ya simu kutoa namba zetu bila ridhaa yetu wajitathmin
 
Mkuu usidanganye umati Clouds hawajawahi ongoza before 2014 sababu walikuwa wanafika mikoa 5 tu hahahahaha usichojua ni kama usiku wa giza... nakwambia nenda kacheki leseni yao wamefika nchi nzima lini? hahahahahahahaahhahahah kabla ndo mana nasema tunabishana hapa na watu wasiojua kitu ila ujuaji mwingi..kama una ndugu clouds muuulize wameanza kufika nchi nzima mwaka gani..hehehehe utashangaa na roho yako. Na geopol hawaendi kwa TCRA...wanaenda kwa makampuni ya simu kuchukua namba za watu waliopo mikoani. TCRA haihusiani na Geopoll kabisaaaa... na wala hawashare utafiti. Geopoll wanafanya utafiti kwa kutumia mobile partners wao ni vodacom na halotel tigo sasa TCRA anatoka wapi hapo ndugu yangu. geopoll kila mwaka wanatoa mkuu tena kila mwezi mpaka leo ninao data zao sema su nikutumie PM

Tusiongeee kwa Mdomo tu Naomba angalia hii ripoti ni ya mwaka 2010 na niambie Clouds hapo imeandikwa inafika mikoa mingapi. http://www.tv4d.org/Tanzania_4_Mediaprofile.pdf

kuanzia 1995 - 2010 ni RFA Radio One na TBC pekee waliokuwa wanafika mikoa yote. sasa ndugu huyo clouds kawaje namba moja Tanzania wakati kaanza kufika mikoa yote 2012 - 2014. hio miaka 20 ya kuongoza inatokea wapi?
Yaani Clouds kabla ya 2014 walikuwa mikoa 5 tu??

Mkuu embu itaje hiyo mikoa mitano tafadhali
 
For me mtu ninaye mwona ana fiti katika hiyo nafasi Seba,yupo vizuri kwanza anaijua CMG vizuri sana,kishashika nafasi nyingi CMG,kafanya kazi na Marehemu Ruge kwa ukaribu kwa hiyo hata some strategies ambazo alikuwa akizitumia marehemu ktk uongozi atakuwa anazijua vizuri,nne hana usela yaani ni presentable ,hata akipropose kitu kwa makampuni mbalimbali wanamwelewa.
Tatizo unajifunga sana na hiyo dhana 'usela' kuwa msela haimaanishi kwamba uta behave unprofessionally. Usela ni spirit ya ujana kama ambavyo brand yenyewe ina usela ila weledi hauachwi nyuma.
 
Tatizo unajifunga sana na hiyo dhana 'usela' kuwa msela haimaanishi kwamba uta behave unprofessionally. Usela ni spirit ya ujana kama ambavyo brand yenyewe ina usela ila weledi hauachwi nyuma.
Historia yako mbovu ya nyuma inaweza ikakuharibia mbeleni na ndio maana.

Nafasi nyingi za ukurugenzi,lazima watizame mienendo yako huko nyuma na nidhamu yako bila kusahau uchapa kazi wako na kipi ulicho achieve.
 
jkwahiyo tabia ya mtu ndio kila kitu
 
Nilisema Huu uzi bila picha ni sawa na.........utamalizia mwenyewe
kwa ulimwengu huu wa teknolojia lilikuwa sio suala la wewe kuoomba picha, wakati mwingine jiongeze ndenda google utapata kila kitu
Apeleke na yeye basi uko google
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom