Sasa hyo software unainstall kwenye simu yako au computer? Je kama kwenye simu je mtu akiiflasha si ataiondoa hyo software? Na kama kwenye cmp kuna connection zipi hapo?
inawekwa kwenye simu,ila kuna sehemu kwenye setting utatakiwa kuingiza namba ya cm nyingine ambayo taarifa za kupotea zitatumwa,ikiwa ni pamoja na namba ya hiyo cm card mpya.Sasa hyo software unainstall kwenye simu yako au computer? Je kama kwenye simu je mtu akiiflasha si ataiondoa hyo software? Na kama kwenye cmp kuna connection zipi hapo?