askari mpole
Member
- Mar 24, 2014
- 19
- 2
Nenda setting General Apps hafu All Apps kisha ifungue hiyo kisha Clear Chache na Clear Data.
Ikikataa tena itabidi uwe unadownload app kwa njia ya apk
Na last option ni kutafuta latest apk ya Google Play kisha install
Make sure. APNs zako ziko poa pia
habari wakuu, natumia samsung galaxy tab..kuna mtu alichezea pattern mara nying na kusababisha simu kujifunga kwa kutaka gmail, nilikuw nimesahau password za gmail hivyo nikaamua kuireboot simu..basi tangu hapo nikiingia kwenye playstore kupakua application inaleta jibu hili "error retrieving".....naomba msaada wakuu..
cc chief mkwawa...kikulacho
Unatumia mtandao gani?
Mkuu wakati unaendelea kusubiri kupata utatuzi wa tatizo lako, Install 1mobile.com kwenye tab yako, hakika itakusaidia. Inafanya kazi kama google play
Nilijua tu itakuwa voda.
Make sure apn zako hazina proxy wala port
Yaani zifanane na zangu
asante mkuu ngoja nijaribu
asante mkuu ngoja nijaribu