Naomba msaada wa kufungua simu ya Samsung galaxy (tab)

spade4spade

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
2,207
Reaction score
2,158
Members JF

SIMU YANGU YA SAMSUNG GALAXY TAB 7.0 IMEFUNGWA NA MTOTO WANGU ALIYEKUWA AKICHEZEA KWENYE SECURITY PATTERN. INAONEKANA KAMA ALIINGIZA GMAIL ADDRESS AMBAYO HAIKUMBUKI NA WALA HAKUMBUKI PASSWORD KABLA HAJAIZIMA. NAOMBA MSAADA WA KUIFUNGUA.
 
fanya reset press power button+home key+up volumr kwa pamoja then subir kama sekunde 7, then itakuja screen ya kuwipe data!!
 
Members JF

SIMU YANGU YA SAMSUNG GALAXY TAB 7.0 IMEFUNGWA NA MTOTO WANGU ALIYEKUWA AKICHEZEA KWENYE SECURITY PATTERN. INAONEKANA KAMA ALIINGIZA GMAIL ADDRESS AMBAYO HAIKUMBUKI NA WALA HAKUMBUKI PASSWORD KABLA HAJAIZIMA. NAOMBA MSAADA WA KUIFUNGUA.

Anzia Hapa. BOFYA :

how to reset forgoten pattern password of a tablet
 
Back
Top Bottom